New gospel singer

New gospel singer

Genchi

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
95
Reaction score
48
Kutoka Tanzania namleta kwenu kijana mwenye upako wa tofauti ktk kumtumikia mungu kwa njia ya uimbaji na kufungua .

Artist; Michael john
song;Msaada wako

Ingia youtube kuona kazi yake nami nahakika utabarikiwa.
Like,comment,subscribe na Mungu akuzidishie.
Screenshot_20201223-161325.jpg
 
kama unatafuta more viewers in YouTube channel it's okay but wimbo mzuri unajitangazaga wenyewe . mfano ule wimbo watabaki wanashangaa wanaulizanaa !
 
Kutoka Tanzania namleta kwenu kijana mwenye upako wa tofauti ktk kumtumikia mungu kwa njia ya uimbaji na kufungua .

Artist; Michael john
song;Msaada wako

Ingia youtube kuona kazi yake nami nahakika utabarikiwa.
Like,comment,subscribe na Mungu akuzidishie.View attachment 1658079
Yap uko vizuri

Similar Discussions

Back
Top Bottom