breaking Newssssssssasss maombi nacte yanaendelea mwisho 16.10.2015 11.59PM xo unatakiwa kutuma maombi au kupdate!!! info zako Tunashkuru kwa kutuongezea mudaa!!! if posble muongeze tena!!.Thank you Nacte!!.

wadanganyika tunauvilimilivu.application za chuo miezi minne unasubiri tu.kuna kitu kinaendelea nacte .hivi kwanini ucmpe mtu uhuru wa kupeleka maombi chuo anachotaka ,hivi kwanini umchagulie mtu chuo cha kusoma ?. tanzaniaaaaaaaaaa?
haa haa kama hujachaguliwa fanya mchakato mwingine,ukienda kwenye profile wanakwambia second round mwisho tarehe 16 mwezi wa 10. kama ulichagua chuo nenda kwenye go to profile ingia hapo utaona chuo ulichochaguliwa. kama mpaka sasa hujachaguliwa basi jaribu mwakani.maana tarehe 16 ni siku ya kufunga udahili

mfumo wa kupitia NACTE application ni mzuri xana binafsi nmeupenda coz huwezi kosa chuo.