New Friends...

New Friends...

jaqfantasy212

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
542
Reaction score
258
Aje friends?

Post yangu hapa sio mahala sahihi sana ila naiman mtanielewa..

Moja post hii inawahusu wanaojielewa na watu wazima kuanzia miaka 27 na kuendelea..

Pili ukiwa muajiriwa, umejiajiri au una mipango mkakati itakuwa bomba sana..

Nia na madhumuni ningependa kujuana/kukutana na kubadilishana mawazo na watu wapya kabisa katika maisha yangu..


Jfantasy......Co.Ltd(MD)

Ukipenda ni PM..

Thanx
 
GKM nasikia unatafuta rafiki wa kike, njoo kuna dhahabu hapa inaelea
 
Back
Top Bottom