New Delhi: Tembea ujionee

Maisha yao ya kawaida sana kama yetu ila maskini wa huku kamzizi umaskini maskini wa India omba omba wakutosha, wapiga debe pia wapo. Tofauti niliyoiona huku mitumba ipo ila kidogo sana na vitu vyao ni fixed price no bargain
Ni kweli Mkuu. India omba omba omba anakuomba mpk unahisi atakukaba!
 
Aiseee....kweli kama alivyosema mdau hapo juu....Wahindi rangi tu hizo.
Ngoja hili sakata la Makonda liishe, tukapige patroo huko
 
Ndio msiwe mnawakubali kirahisi rahisi. Ukitaka kumuumiza Mhindi Kariakoo, mwambie umekaa India, afu mtajie machaka yao. Lazima afunge mdomo wake.
Sio kuwakubali....tatizo gia wanazokuja nazo.
Afu kama unavyojua, sie ni kama wanyama tuko mbugani...tunawinda na kuwindwa
Tunatumia trick ya "nyoka"
 
Hiyo ya sigara ni sababu ya uharibifu wa mazingira...
 
Sio kuwakubali....tatizo gia wanazokuja nazo.
Afu kama unavyojua, sie ni kama wanyama tuko mbugani...tunawinda na kuwindwa
Tunatumia trick ya "nyoka"
Haaa. Haaa. Haaa. Haaa. Haaa. Nikuelewa. Siwalaumu tena.
 
Nimefika katika huu mji. Mengi ya uliyoandika ni sawia na hakika kabisa
 
Sio kuwakubali....tatizo gia wanazokuja nazo.
Afu kama unavyojua, sie ni kama wanyama tuko mbugani...tunawinda na kuwindwa
Tunatumia trick ya "nyoka"
Nikupe kisa kimoja. Wakati nipo shule pale New Delhi, nikawa nimezoena na wahindi wengi, wanachuo na lecturers.

Siku moja chuoni pale nikakutanishwa na Mhindi, ndg wa lecturer wangu. Mhindi yule katika maongezi yetu, alikuwa anatumia baadhi ya maneno ya Kiswahili.

Kumbe yule bwana amekaa Tanzania miaka mi4! Alikaa sana Arusha. Wacha ataje mitaa. Vitongoji. Hotel. Mabasi. Vyote vya Arusha.

Yule Mhindi akawa analazimisha urafiki, ukaribu na Mimi. Akafika point akanambia kwa shida yoyote ile, nimuambie yeye, na yeye atahakikisha sipati tabu yoyote ndani ya New Delhi. Nikaogopa.

Nikaogopa kwamba kwa maisha yetu Bongo, Mwanaume kumuambia Mwanaume mwenzie maneno kama hayo sio kitu kidogo. Ikabidi nianze kumkwepa. Nae akazidi kunfata fata. Nikimuuliza anachokitaka kwangu, anasema no, just friendship. Mmmh.

Ikabidi nimuambie wifi yako wa Kinaminibia niliekuwa nae class moja. Akanishauri turipot kwa uongozi wa chuo. Kituko. Kumbe bwana yule alizingua Tanzania ktk kampuni ya wahindi wenzie Arusha. Wakampiga chini. Viza sijui vibali vikaexpire. Akarudi India. Maisha India magumu. Analia usiku. Analia mchana. Kinachomliza ni Tanzania. Nimuunganishie mchongo wa kumrudisha Tanzania. Yaani alikuwa lazima arudi Tanzania.
 
Nimefika katika huu mji. Mengi ya uliyoandika ni sawia na hakika kabisa
Mkuu ulipata kutembelea yale masoko yao? Palika Bazaar? Nehru Place?
 
Dah!!
Ulikuwa unaanza kujipigia mdogo mdogo.
Ila kama una contact zake, ni -Pm nimsaidie kuwa wakala wake hapa Tz.
But unajua sisi watafutaji tunakutana na visanga vya kila aina...huyo atatulia tu akiingia kwenye 18 yangu mkuu.
Nje ya mada: Huyo m-namibia wako ndo permanent au alikuwa wa kukukausha baridi kwa wakati huo?

Ila Wahindi hawana ladha, sijui wa huku Dar...ila wa kule Njiro, hakuna kitu.
Labda kwa kuwa nao wanavuta cha Ara
 
Paragraph yako ya mwisho nimecheka sana. Wewe sio mtu Mzuri. Yule Mhindi namba zake za simu nilishapoteza, lakini nina E-mails zake, ngoja nitakuchekia. Mnamibia ilikuwa wa kuvuta muda tu, shule iishe nirudi Bongo. Tulimalizana baada ya Graduation. Si unajua waafrika tumefeli ktk Distance love!
 
Hapo hapo....yaani hapo sijui kwa nini
Ila chanzo kikuu ni ninyi kuanzisha michepuko mkienda kikazi.

Ok...we cheki e-mail zake, twaweza wekeza.
Ila dada wa watu akajua kafika on point...kumbe.
Dhambi sana ulifanya...sie wanawake tunajijuaga.
 
Hapo hapo....yaani hapo sijui kwa nini
Ila chanzo kikuu ni ninyi kuanzisha michepuko mkienda kikazi.

Ok...we cheki e-mail zake, twaweza wekeza.
Ila dada wa watu akajua kafika on point...kumbe.
Dhambi sana ulifanya...sie wanawake tunajijuaga.
Hapana sikufanya dhambi. Mnamibia alinihitaji sana Mimi kuliko Mimi nilivomuhitaji, kweli nakuambia!
 
Indian women look so beautiful and attractive when young, but they tend to age terribly
Ukipewa mhindi mzee unaweza hata kukimbia dadeki
 
Kama ile ya kwenye movie ya Mr bones hahahahhaa
 
Mkuu ulipata kutembelea yale masoko yao? Palika Bazaar? Nehru Place?
Nilifika Nehru place. Ila nilipita tu, kwa sababu kazi zangu hasa zilikuwa North East India, jimbo la Bihar na kidogo jimbo la Madhya Pradesh.
  1. Mbwa wamezagaa India mpaka kero, na hawana mwenyewe.
  2. Nyati wanafugwa kwa ajili ya maziwa, na wamenenepa sana wale nyati wao.
  3. Jamaa ni wachafu sana mitaani, taka kila kona.
  4. Wako vizuri sana kwenye miundombinu, mpaka vijijini
  5. Wanathamini SANA shule (elimu). Kila kona ni mabango ya tuisheni tu, tofauti na sisi tumejaza mabango ya waganga wanao boost nguvu za kiume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…