Pole, Mi nilikuwa New Delhi, ubaguzi haukuwa sana, ila msimu wa joto ni joto kweli kweli, na msimu wa baridi ni baridi kweli kweli, nashukuru niliweza kukaza mpk mwisho!Mimi palinishinda siku ya kwanza nimetua, joto kali tena kule karibu na Pakistan hatari sana
Ubaguzi wa kishenzi
Bahati mbaya hatukupata hizi info mapema, pia inamaana hata vya elf70 vipo e? Namuonea huruma sana dogo alikua disappointed sana maisha yake ya chuo coz aliiona future yake kupitia new delhiZipo hta zaidi ya hiyo laki na 80, lakini kiuhalisia hapo alikuwa anapelekwa ktk nyumba ya laki au elfu 90 kwa mwezi, ndio maana kuna mdau kashauri dogo angefika kule angepata maujanja na hata chumba cha gharama nafuu zaidi angepata!
Kuna kushare room, hata elfu50 angeweza kulipa!Bahati mbaya hatukupata hizi info mapema, pia inamaana hata vya elf70 vipo e? Namuonea huruma sana dogo alikua disappointed sana maisha yake ya chuo coz aliiona future yake kupitia new delhi
Pole, Mi nilikuwa New Delhi, ubaguzi haukuwa sana, ila msimu wa joto ni joto kweli kweli, na msimu wa baridi ni baridi kweli kweli, nashukuru niliweza kukaza mpk mwisho!
Sijui kwanini watu hua wanatoa wrong info kwa kujali sana cha juu, si ni bora mtu akwambie ukweli halafu adai malipo !Kuna kushare room, hata elfu50 angeweza kulipa!
Kama sijakosea nadhani india inashika nafsi ya pili kwa ubaguzi kwa wanawabagua hata wale wenzao wahindi weusiNasikia ni wabaguzi sana, kuna ripoti ya binti wa kiTanzania kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani.
Sitaki kuhukumu kwa ile ripoti na kufanya nao kazi. Je Kuna ukweli juu ya hilo? Kama ndiyo, uliwezaje kuhimili maisha ya huko kukiwa na ubaguzi kama huo?
Atawakomeshaje wakati yeye mwenyewe nimteja wao? Unafikiri kumchukua na kumpangia nyumba inafuta sifa yake ya uchangu? Kalagabahoo.makonda anafaa kuwj RC Huko awakomeshe machangu
Aisee hii ni kweli, kuna mtoto wa ndugu yangu alikuwa anasoma huko India mambo ya uhandishi, wiki jana tumemzika: kisa ni kwamba alivyokuwa hapo India alipata demu wa kihindi, wahindi wakachukia walifika chumbani kwake (hostel) akiwa na roommate wake wakamtoa nje, wakamnyang'anya yule mwenzie simu, na yeye ni mtanzania, wakamnyonga kisha wakamrusha kutoa ghorofani hadi chini, yaani maiti ilikuwa inatisha, japo walimshonashona kichwa! kijana mbiiichii kazaliwa 1994!
Ni ngumu kupata papuchi India, na hasa ukiwa mgeni, na hali ni mbaya zaidi ukiwa Mweusi.
Kwenye suala la papuchi hapo nakuunga mkono kwa asilimia 200! Tena afadhali hata huko Delhi kuna sehemu unaweza kununua, sehemu nyingi sana tena miji mikubwa kuliko ya bongo hakuna papuchi ya kununua au ya kuishika mkono uisalimie😀😀. I had the longest dry season ever over there, ndipo nikatambua useja unawezekana.
yah Paki shua kule..mkuu nilikuw Model Town IIImkuu especialy Greater Noida pia wana appartments nyingi sana, asee wewe umeishi Delhi miaka ipi mkuu ? mimi nilikaa Hauz Khas, Padmini Enclave , hata Noida nimeishi
Ahsante Slim5So sad. Sa hivi ndio visa vya mara kwa mara nchini India. Poleni sana.