Mkuu zile ni Siasa za kale naweza sema kwa sasa zishaisha... Wanasiasa huwapa pesa waandamanaji kisha huchagua jambo la kufanya wanaweza ziba njia n.k so ile ya kupiga Waafrica ilikuwa ni kwa kumkomoa Waziri Mkuu alipoandaa mkutano na viongozi wa Africa... ili wasuse lakini mkutano ulifanyika baada ya viongozi kueleweshwa... black Money now ni kama imededishwa baada ya pesa kubadilishwa so hakuna pesa za mchezo mchezo tena.. na Mhindi haandamani bila pesa kwai wanajua faida ni yako wewe wao wakishamaliza maandamano wanarejea kwenye shughuli zao tu...India Maandamano ni sehemu ya kipato... STUKA Kwety huwa tunasombwa na matrucksNasikia ni wabaguzi sana, kuna ripoti ya binti wa kiTanzania kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani.
Sitaki kuhukumu kwa ile ripoti na kufanya nao kazi. Je Kuna ukweli juu ya hilo? Kama ndiyo, uliwezaje kuhimili maisha ya huko kukiwa na ubaguzi kama huo?
Aisee mtaahirisha vipi masomo ya mtu kwa kitu kidogo hivyo? Accomodation hio angelipa mwezi tu akifika kule anapata ujanja na kuwa mwenyeji. Hivyo angetafuta mwenyewe accomodation bora na bei rahisi.Mdogowangu alitaka aende akasome degree ya computer science branch ya punjab university New Delhi ila jamaa aliyekua akiunganisha mambo alitutajia gharama kubwa za kukodi rum about Tsh180,000 per month kiasi ambacho wazee walighairi tena kumpeleka dogo .sijui kwanini watanzania wengi walioko nje hawatoi info za kweli wanajali sana cha juu tena kingi !! Dogo ilimuathiri sana kias kwamba ilimcost performance yake chuoni coz alishamaliza kushughulikia mambo yote yahusuyo safari.
amsr
Plus Miundo mbinu ya Masoko, vyuo vyao na hata vituo vya reli.Ila india tuna mengi ya kujifunza toka kwao kuanzia elimu, viwanda, shirika la Ndege, DIASPORA na SAYANSI &TEKNOLOJIA.
Interesting. Naamini usemacho. Wahindi watu wa ajabu sana.Kwenye suala la papuchi hapo nakuunga mkono kwa asilimia 200! Tena afadhali hata huko Delhi kuna sehemu unaweza kununua, sehemu nyingi sana tena miji mikubwa kuliko ya bongo hakuna papuchi ya kununua au ya kuishika mkono uisalimie😀😀. I had the longest dry season ever over there, ndipo nikatambua useja unawezekana.
Ukifika Calcutta, umefika India. Ukifika New Delhi, umeimaliza India.Safi sana kw makala nzr.. Nachowachukia wahindi Ni ubaguz tu.. Ila napenda muvi zao.. Na Ningependa kufika kwnz Kolkota (Calcuta) kabla Ya New Delhi
Hamna Mkuu unless ujichanganye!duh, vp ple university yao ya new delhi ubaguz hmna
Hiyo namba 12 ndio muhimu, huko kwingine mbwembwe......so papuchi zinaendaje beiWaingereza waliicha serikali Kolkata (sema tu Karakata) lakini wahindi wenyewe wakahamisha makao kwenda New Delhi! Wengi wanachanganya, NEW DELHI na DELHI ni vitu viwili tofauti, Delhi ipo ndani ya New Delhi, kiufupi Delhi ni eneo ndani ya New Delhi na New Delhi ndio makao makuu ya India.
View attachment 468845
- Kwa wataalamu wa Mipango-miji, maeeneo mengi ya New Delhi yalipangwa na Muingereza mtaalamu wa Mipango-miji: aitwae Edwin Lutyens na kwa heshima yake, New Delhi pia huitwa Lutyens Delhi.
- Eneo la viwanda lijulikanalo kama Delhi – Mumbai Corridor, ambalo ujenzi wake haujakamilika, litaja kuwa mradi mkubwa wa miundombinu duniani huku ukiwa ndani yake na Majiji 24, Mitambo ya nishati 2, viwanja vya ndege 6, viwanda 23, Bandari 2 na Barabara ya njia 6 ya urefu wa Km 1500. Wachambuzi wanasema, mradi huu ni kama vile wahindi wamedesa idea ya mradi kama huo ujulikanao kama Tokyo-Osaka industrial corridor wa Japan.
- Katika utafiti uliofanywa na Global Metro Bench NOVA na CoMET, usafiri wa umma (Mwendokasi) ujulikanao kama Delhi Metro (Mabasi na Treni. Kwa upande wa Mabasi ya Delhi Metro, ndio mfano halisi wa UDART yetu, kuanzia muundo mpaka rangi, cha tofauti ni kuwa, wao hawana Vituo na bara bara maalum kama sisi DSM) ndio mtandao wa usafiri wa pili kwa ukubwa duniani. Usiniulize kuhusu Mwendokasi wetu.
- Uwanja wa ndege wa Indira Gandhi International Airport (IGIA) ni wa 4 kwa ubora duniani mpaka kufikia 2010, na wahindi wanaamini kwa sasa, uwanja huo ndio wa kwanza kwa ubora!
- Kwa idadi ya watu, New Delhi ina watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18m na hii inaufanya mji huu kuwa namba 6 kwa idadi ya watu!
- May mwaka 2014, New Delhi ulitajwa na (WHO) kuwa ndio Jiji lenye hewa chafu zaidi duniani.
- Kama huvuti sigara wala bangi, na ukawa unaishi New Delhi, uwepo wako pale ni sawa na kuvuta sigara 10 kwa siku, wanasema hii ni sawa na kupata kansa ndani ya mwezi mmoja! Kama unavuta piga hesabu mwenyewe!
- Msongamano wa Magari ndani ya New Delhi ni sawa sawa na msongamano wa Magari katika jiji la London nchini Uingereza! Kama Tanzania, New Delhi madereva wanaendesha wakiwa upande wa Kulia wa gari!
- Haijathibitika rasmi, lakini ukae ukijua New Delhi, madereva wanapenda kupiga honi za gari kupitiliza, karibia gari zote zimebandikwa sticker kwa nyuma HORN PLEASE! New Delhi pekeake ina Magari 7m mpaka kufikia 2014!
- Tanzania wanaita BAJAJ, kule New Delhi zinaitwa Autos. Na zipo nyingi sana, na nyingi zina rangi ya kijani na njano! Huenda wanatuenzi wa Tanzania!
- Wakazi wa New Delhi wanaitwa Delhite. Na wengi wao hawajui English. Wanapenda na ni wepesi kuwasaidia wageni kuwapa maelekezo, japokuwa wana uhakika hawaelewani lugha na pia hawaelewi anachosema mgeni.
- Ni ngumu kupata papuchi India, na hasa ukiwa mgeni, na hali ni mbaya zaidi ukiwa Mweusi. Mtaa maarufu kwa biashara ya papuchi Jijini New Delhi ni GB Road, cha kushangaza zaidi, madada poa wa mtaa huu wanakaba, wanaiba na kupora chocote alichokuja nacho mteja kuanzia, hela, simu, wallet, mikufu n.k.
Police wanalijua vizuri eneo hili, na mara nyingi huvamia na kusomba kila waliemkuta hapo! Inakadiriwa kuwa, GB (Garstin Barstion) Rd ina machangu 10,000+ (zaidi ya elfu 10). Ahsante sana Lucknow Univ. Tembea uone! Soma uelimike!
Indian rupee 500Hiyo namba 12 ndio muhimu, huko kwingine mbwembwe......so papuchi zinaendaje bei
Unawajua wazaz mkuu me nlisupport sana dogo aende lakini wazaz wakakataa kwa kujua hiyo hela itakua ndo hivohivo kwa miaka yote..hivi wakuu pango za new delhi ndo zipo hivo kweli??Aisee mtaahirisha vipi masomo ya mtu kwa kitu kidogo hivyo? Accomodation hio angelipa mwezi tu akifika kule anapata ujanja na kuwa mwenyeji. Hivyo angetafuta mwenyewe accomodation bora na bei rahisi.
Zipo hta zaidi ya hiyo laki na 80, lakini kiuhalisia hapo alikuwa anapelekwa ktk nyumba ya laki au elfu 90 kwa mwezi, ndio maana kuna mdau kashauri dogo angefika kule angepata maujanja na hata chumba cha gharama nafuu zaidi angepata!Unawajua wazaz mkuu me nlisupport sana dogo aende lakini wazaz wakakataa kwa kujua hiyo hela itakua ndo hivohivo kwa miaka yote..hivi wakuu pango za new delhi ndo zipo hivo kweli??