Hahahahahaaaaaa hahahahahaaaaaa hahahahahaaaaaa u man killed me... KolonMkuu hapo GB ROAD nishatimba sana enzi zangu kwa miaka mitatu kufuata PAPUCHI YA KIHINDI- nilikuwa naingia namba 72 kwa jamii ya wanepal hivi, we mkuu ulikuwa na koloni room namba ngapi..tukumbushane bwa Shekhe..
Yes India electronics are cheaper.. Ila muhind anadesa kisheeeenz.. IPhone za khind utafurah mw3nyeweApproximately kama 390,000 tu lakini maduka ya Dsm wana top up Kama 100,000 hivi.
Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Siku jamii ikikolapse ntaliaa ka chizhahah
ahahahaha GB road kaka siku ya kwanza sijatimba mshikaj wangu mmoja alikuwa anasoma Punjab , mji wa Chandighar akaniambia hapo kuna watoto wengi paka wakichina kinepal, nikawa navuta picha itakuwa bonge la sehemu , nikachukua Rickshaw nilikuwa mitaa ya Rajiv Chowk usiku nakula mtungi, kwenda pale kujionea hayo mazingira balaa, kwenye ngazi unapishana na watu mia wanapanda mia wanashuka, uwanja wa fisi unasubiri, unagonga ishu kwenye vitanda vya chaga tupu, paka msuli ukanikamata , bei ni rupee 500 tu ilikuwa, what an experience , mimi nahisi nyumba ilikuwa 60 fulani mayb au 70 aswell
Ni kweli. Ila jamaa mitaani ni wachafu. Muhindi anaweza kupark gari pembeni ya barabara kuu ili akojoe tu.Delhi nilipenda;
1. Nauli kwa Ethiopian Airlines ni cheap kuliko KQ (Dar-NBO -Dar).
2. Airport yao Classy (hakuna mikelele ya matangazo ya kipuuzi).
3. Hotel/bidhaa nafuu kuliko Dubai
4. Usafiri/domestic nafuu-auto rickshaw.
NdioooooooNa ukishakuwa black, wao wanajua ni lazima utakuwa Mnigeria, au laah USA na kidogo SA
Ni ulimbukeni. New Delhi wazazi wa mtaa mmoja wanaweza kujipanga na kukodi Bajaj 1 tu iwapeleke na kuwarudisha watoto shule ili kupunguza makali ya school bus fees. India zipo Bajaj zinabeba abiria 10.Tanzania ukiwa unamiliki gari ka hizo unaonekani maskini.
Ndio mkuu, ilitokea Chuo cha Bangalore,.. Ambapo mschana wa kibongo alivuliwa nguo hadharan kw kosa ambalo hakulitenda.. Yote hayo ni tabia za kibaguzi za wahindiNasikia ni wabaguzi sana, kuna ripoti ya binti wa kiTanzania kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani.
Sitaki kuhukumu kwa ile ripoti na kufanya nao kazi. Je Kuna ukweli juu ya hilo? Kama ndiyo, uliwezaje kuhimili maisha ya huko kukiwa na ubaguzi kama huo?
Dar ya india ni MUMBAI (kijiografia/mji wenye bandari na pilika pilika nyingi za biashara si NEW Delhi (dodoma ya india).sawa dar ya india
Ila india ni tofaut wagen hawapendwiHahahahahaha hii ya Papuchi nahic Dada zetu ndio wanapenda wageni zaidi kuliko sisi wazawa wenzao