Bangalore pametulia sana na hakuna fujo fujo...Goa nimekaa wiki moja ni mji wa kitalii na vinywaji ni bei rahisi sana..
Delhi nlipita kwa siku moja tuu na naweza sema uwanja wao wa ndege ni moja kati ya viwanja bora duniani.
Bangarole ndo nimekaa mda mrefu sana. Goa kama wiki 2 nlienda tour. Kule full starehe. Maana kuna meli kubwa ni cassino mnaenda huko usiku kucha full kula bata mpaka alfajiri ndo mnarudi. Kuna mpaka vyumba vya kulala
Mkuu hapo GB ROAD nishatimba sana enzi zangu kwa miaka mitatu kufuata PAPUCHI YA KIHINDI- nilikuwa naingia namba 72 kwa jamii ya wanepal hivi, we mkuu ulikuwa na koloni room namba ngapi..tukumbushane bwa Shekhe..
Kuna maskini wa kutisha pengine kuliko hata bongo, ni India yote kwa ujumla! Omba omba wa kule anaweza kukufata anaomba umbli mrefu kama Kariakoo mpk Manzese, anaomba tu, mpk umpe!