New Delhi: Tembea ujionee

Mkuu vipi kuhusu MUMBAI na BOMBAY hivi ni mji mmoja huu au tofauti? Na umaarufu wake unatokana na Nini?
 
Nasikia ni wabaguzi sana, kuna ripoti ya binti wa kiTanzania kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani.
Sitaki kuhukumu kwa ile ripoti na kufanya nao kazi. Je Kuna ukweli juu ya hilo? Kama ndiyo, uliwezaje kuhimili maisha ya huko kukiwa na ubaguzi kama huo?
INDIA ndy namba moja duniani kwa UBAGUZI......Kuitwa SOKWE KUTUPIWA GANDA LA NDIZI..ni kawaida India...Nilitaka KUPIGWA MAGONGO YA KRICKET na WAHINDI kisa nimemlipia NAULI ya DALADALA mtoto wa kike wa mwenye nyumba wetu..NA hapo GB ROAD wanawake wa KIHINDI wanapojiuza...hata POLICE wakiingia wakikukuta MTU MWEUSI UNANUNUWA MWANAMKE. ...wana kupiga MAGONGO..wanawacha WAHINDI WENZAO..wanafukuza WATU WEUSI....tena ukigombana na muhindi mmoja wewe MTU mweusi wenzie huwa hawaulizi kisa nn...wao wanakuwa upande wa muhindi mwenzao...ukienda sokoni kama hujuwi kihindi... UMEKWISHA....ANAITWA MKALIMANI wa kutafsiri kingereza... mkalimani huyo kazi yake ni kukupandishia BEI vitu...kama nyanya ni rupees 10..yeye anasema 40.rupees..mchele rupees 20 atasema 60 rupees mradi tu upigwe pesa...ukiondoka wanagawana....yapo mengi sana yaliyonikumbusha India...hizi bajaj kule wanaita rick shaw...ukikodisha wanakuwekea meter ya kuandika record ya umbali unapokwenda....hata kama hapajuwi..au anapajuwa atakuzungusha mji mzima mradi tu meter isome nyingi utoe pesa nyingi..sehemu ya rupees 50...unatoa 500 rupees..au anakuzungusha MWISHO anakwambiya sipajuwi...nipe pesa zangu...na wenzie wakija pesa utatoa kwa nguvu...kuna siku nilishashuhudia ugomvi mmoja..jamaa alikuwa hanapesa za hotel akalala nje sasa pale alipolala ..akaja MBWA nae anataka kulala pale..yule jamaa yetu mweusi akawa anamfukuza...wakaja wahindi Fulani wakaanza kumtimua yule jamaa..wakamwambiya WEWE NA MBWA nani MGENI?wewe umekuja hapa INDIA ila MBWA kazaliwa hapa..wakamtoa jamaa akatafuta pakulala...INDIA ni HATARI...
 
Ilikuwa miaka gani hiyo? Sokoni kunahitaji mkalimani? Pole sana.
 
INDIA ndy namba moja duniani kwa UBAGUZI......Kuitwa SOKWE KUTUPIWA GANDA LA NDIZI.....
Mkuu pole sana kwa yaliyokukuta.
Yaani unamaanisha wanayoyafanya wakiwa huku huko kwao ni mara mia...
Ilikuwa miaka gani hiyo? Sokoni kunahitaji mkalimani? Pole sana.
Mkuu usijibu kiwepesi hivi hebu jibu kwa weledi
 
Ilikuwa miaka gani hiyo? Sokoni kunahitaji mkalimani? Pole sana.
1999 hawajuwi English.. Wahindi wa kule....inabidi uende shule ndy ujuwe English... Na shule ZAO ni KIHINDI tu...tushakutana nao sana kwny ndege wanaomba msaada wa kujaziwa zile forms za immigration kabla ya kutua Dubai...wanakuomba msaada ujaze...ujanja wa bongo tu..tena mm mwenyewe nimerudi unajuwa sn KIHINDI now nimesahau kiasi
 
Mkuu pole sana kwa yaliyokukuta.
Yaani unamaanisha wanayoyafanya wakiwa huku huko kwao ni mara mia...

Mkuu usijibu kiwepesi hivi hebu jibu kwa weledi
Haya mkuu ila najibu natembea nipo barabarani..uliza mkuu
 
Mkuu pole sana kwa yaliyokukuta.
Yaani unamaanisha wanayoyafanya wakiwa huku huko kwao ni mara mia...

Mkuu usijibu kiwepesi hivi hebu jibu kwa weledi
Mkuu, mi nimekaa New Delhi. Nimepanda AUTOS. Nimepanda DELHI METRO BUS. Nimepanda DELHI METRO TRAIN. Nimeenda mahotel ya mf. Country Inn hotel ipo SAIBABAD, nimetembelea malls zao mf PACIFIC MALL, nimeenda shopping masoko km PALIKA BAZAAR, NEHRU PLACE, huko kote mi sijawahi kuona Mkalimani wala sijawahi kutupiwa ndizi! Nasema niliojionea!
 
Ilikuwa miaka gani hiyo? Sokoni kunahitaji mkalimani? Pole sana.
Mkuu nilikuwa pale mumbai..1999..then nikaenda delh hadi 2002...nikaondoka ...ila wabaguzi sana mkuu..DADA zetu wanawataka ila wa kwao huli mkuu..English hadi shule za PRIVATE...shule hizi za government ni KIHINDI tu... So watu wengi hawajuwi English mkuu..popote unapoenda kama hujuwi kihindi ni MAJANGA..
 
Mkuu wewe ulikwenda kutembea..au kuishi?
 
Ila nimeona mdau kasema alikua huko miaka ya 99 itakua kuna ukweli au na wewe ulikua huko miaka hiyo hiyo?
 
Niko india mpaka sasa sijakutana na experience hiyo ingawa kuna mwenzangu yeye anapofanyia kazi anadai amekutana na dharau
 
Ngada vipi inapatikana wapi mkuu ktk hiyo Delhi maana umeelekeza mpaka papuchi zinakopatikana.
 
Ila nimeona mdau kasema alikua huko miaka ya 99 itakua kuna ukweli au na wewe ulikua huko miaka hiyo hiyo?
Mimi ndy nimeishi kule miaka hyo 1999.. hadi 2001 ..tena nimeanza kuishi hotel moja inaitwa green guest house... IPO PAHAR GANJ ...new delh town..then nikahamia vasant vihar..hapo hapo new delh...then Karol bag...then chanakya puri...kote nimeishi nao...uswahilini...unajuwa hata hapo Tanzania ukikaa posta..utajuwa maisha ya tandale au manzese?tena nimerudi nimeiva KIHINDI ile mbaya...siku moja ..nikaenda bureau
de change Fulani hapo postal mtaa wa morogoro road..Nina kama dola 1000 hivi nataka ni change..nipo Mimi na marehemu baba yangu MUNGU amrehemu...nimepanga foleni wale wahindi wakaniangalia na udogo wngu na nilivyovaa..that time nilikuwa kama Nina 24 years...wakaanza kunong'ona kwa KIHINDI.... Mmoja akamwambiya mwenzie..YE DEKHO...ana maana mwangalie yule....jamaa anamuuliza KONSA DEKHO?yaani nimuangalie nani?anamjibu YE CHOOTA BHAI...maana yake yule MDOGO PALE...Mimi nawasikia....Then akasema YE CHOOR? na maneno mengi mengi tu..maana MWIZI YULE?maana kipindi hicho UNAVAA PAMA kama BONGO MAN ndy fashion kule..tulikuwa tunavaa.. nikamwambiya MZEE...Unajuwa wanaongea nn wale?nikamwambiya wanahisi mm mwizi..wakati huo nimeiva sana KIHINDI... nikawauliza..kwabKIHINDI....YE TUM KHAA BOLTA HEE.?.mnasemaje nyie?wakajibu YE HINDI SAMASTAHEE?... maana unaelewa KIHINDI? nikawajibu ME FIRST CLASS HINDI boltahee....tena nikawatolea dola nikawaambiya..YE DEKHO KITNA PESA HEE MERI PASS..maana yake angalia nina pesa kiasi gani ?..ME CHOOR NEHIHUU..Mimi sio mwizi...nikiwatukana sana KIHINDI na wale watanzania wenzangu walishangaa sana tu kuona naongea KIHINDI namna ile..tena wahindi wengi wa hapa bongo wanaongea GUJERATI..sio HINDI......
Ila nimeona mdau kasema alikua huko miaka ya 99 itakua kuna ukweli au na wewe ulikua huko miaka hiyo hiyo?
 
Niko india mpaka sasa sijakutana na experience hiyo ingawa kuna mwenzangu yeye anapofanyia kazi anadai amekutana na dharau
Inategemea mkuu unaishi wapi..upo delh sehemu gani?nenda kaishi nao PAHAR GANJ..au PURNA huko..au BANGALORE... utawajuwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…