Cute indid
New Member
- Jul 18, 2013
- 3
- 0
Nipo hapa kwa ajili yako karibu sanaHello,mie ni mwananchi mpya jf naomba mnipokee kwa mikono zaidi ya miwili,mwanza ndio mkoa ninao patikana
ok,aksante sanaNipo hapa kwa ajili yako karibu sana
Mdogo wangu kipenzi ulipotelea wapi?wellcome kinondoni studio -dar es salaam
Ousofia ndio na shati ushavua kabisa......Nipo hapa kwa ajili yako karibu sana
yahaya jina lako la awali nani .......by The secretary
.......Yahya weeee....., wapi The secretary!?
Yahya ID yako halisi nani yahya eehee
hahahaaa.... Hapo tu ndio ninapokupendea Mrs Bishanga, unawakaribisha wageni kwa nyimbo na pambio za............ Teh teh!! Kwani mwanzoni ulikuwa unaitwa nani The secretary weeeeeeee!!!
Hello,mie ni mwananchi mpya jf naomba mnipokee kwa mikono zaidi ya miwili,mwanza ndio mkoa ninao patikana