New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Nipo naangalia live leo tarehe 13.03.13 na muda huu usiku wa saa 09: 38 na ndugu yupo pale St. Peter's square tunatweet kwa sana. I am so so happy, Glory to God
 
kweli vatican taifa dogo ila influence duuh ... media zote macho huko...all eyes on balcony now
 
Jamani bendera za nchi za EA nimeziona, Ya tz haionekani.
 
New Pope was elected today, Name and picture will come soon... Stay in touch
 
Ati moshi mweusi hajachaguliwa, moshi mweupe amechaguliwa. Watu weusi tuna laana hata kwenye dini ya ukatoliki, duhu aisee mbona balaa tupu!
 
Huyo papa mpya atakua ni mtoto wa ngapi wa mungu maana tunasikua kuna baadhi ya waungu wamezaa ingawa hatuambiwi ni lini alifunga ndoa au kungurumisha mashine hata katika nyumba ndogo!
 
New Pope was elected today, Name and picture will come soon... Keep on waiting
 
pope.jpg moshi mweupe
 
Back
Top Bottom