New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio


DR Slaa,
 
mkuu unazisubiri baraka za kwanza kwanza!

Yes mkuu kutoka kwa mrithi wa 266 wa Mtakatifu Petro!!

Natafakari maneno ya Yesu sasa hivi "Petro wanipenda? Chunga kondoo wangu,Petro wanipenda? Lisha kondoo zangu! Petro wanipenda? chunga kondoo wangu!

It was very specific not to every one but Petro!!!

Petro wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu! hata milango ya kuzimu haitalishinda!!!
 
Jambo jema, Mungu wetu ni Mungu mwenye kuweza.
Nasubiri siku siyo nyingi wale jamaa wa gazeti la Tazama Tanzania watakavyoandika mbwembwe zao, za kuhusisha zoezi hilo,na upuuzi wao wa freemason na Iluminaati simply kwa kuwa tu Papa kapatikana on the day of 13th....
 

Ujinga huu mkuu
 
Sipati picha akichaguliwa Pengo
 
hebu ilete kwenye hii context ya new pope!!ndiye anayesimama kama petro leo!!
 
Majeshi ya Vatican yamejipanga huku Brass Band ikitumbuiza kungoja nadhani utmbulisho wa Papa Mpya.

Moshi ni maeupe sana
Source EWTN TV
 
Wakatoliki tunamshukuru Mungu hatimaye moshi mweupe umeonekana sasa hivi ishara ya Kumpata Baba Mtakatifu.source bbc.sta tv

Baba mtakatifu!???? ebu kuweni serious, hakuna mtakatifu duniani jama ila juu mbinguni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…