New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Hatimaye kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu sana na wakatoliki kimetimia. Cardinali Bergoglio kutoka Argentina muda huu wa saa 10:13 usiku amechaguliwa rasmi. Ana umri wa miaka 76 na atatumia jina la kipapa Fransis
 
Huyo papa mpya atakua ni mtoto wa ngapi wa mungu maana tunasikua kuna baadhi ya waungu wamezaa ingawa hatuambiwi ni lini alifunga ndoa au kungurumisha mashine hata katika nyumba ndogo!

Mtaendelea sana KUSIKUA hadi majini yatulie.. watoto wa dogo muddy bana...!!!, mnakomaa tu.. hebu jiangalie pua yako na ya yule Haram afu utamjua baba yako ni yupi...
 
One Christ, One Church, One Pope

sas huyu popo kwa nini yupo huko kwa mafia asikae Bethelem kwao yesu...kwenye kanisa lake? au huyu popo ni wa jesus wa huko ulaya sio yule wa bethelem ?
hivi katika wazungo wote basi huko kwa mafia ndo malaika ?
 
Is from Argentina South America by name of Jorge Mario Bergoglio has chosen the name of Francis
 
Huyo papa mpya atakua ni mtoto wa ngapi wa mungu maana tunasikua kuna baadhi ya waungu wamezaa ingawa hatuambiwi ni lini alifunga ndoa au kungurumisha mashine hata katika nyumba ndogo!
ni wa nyumba ya katikati ... mungu ana mtoto ndio navyo amini hii hata uje na panga sibadilishi.. na mungu ni na yeye muamini si sawa na unaye muamini wewe... MUNGU ANA MTOTO NDIO NAYE NI YESU KRISTO .. AMINA.. NAJIVUNIA UKATOLIKI WANGU....
 
Hatimaye kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu sana na wakatoliki kimetimia. Cardinali Bergoglio kutoka Argentina muda huu wa saa 10:13 usiku amechaguliwa rasmi. Ana umri wa miaka 76 na atatumia jina la kipapa Fransis

haya...vijana walie tu...haina neno moshi utachomoza tena kwa huyu kizeee
 
Back
Top Bottom