New Boko Haram video emerged

New Boko Haram video emerged

Ndugu yangu unapoamua kusema kitu au kuposti jambo kama hili kwanza naomba ulifanyie uchunguzi usikurupuke.

Hao waliomfanyia huyo mwanamke sio boko haramu usieasingizie na huyo aliepigwa mawe hio ilikua ni bora kwa kosa alilolifanya na ndio hakali kwake na hakuonewa nami naunga mkono hao boko haramu ni waislamu na km wamemuuwa mwanamke basi na huyo mwanamke ni muislamu mwenziwao

Kuna aya za kuruani katika hio video zinasomwa na kujirejea rejea unazijua maana yake tafsi yake iko hivi mungu alietuumba anasema:- " msikaribie zina hakika ya zina ni uchafu na mtakopomshuhudia mtu kazini akiwa mwanamke ama mwanamme na bado hajaolewa basi wapigeni bakora mia kila mmoja na usikuingieni imani kwao kwa kuacha kutekeleza amri ya mungu na kama 1 au wote wameshawahi kuingia katika ndoa basi wapigeni mawe hadi kufa kwao"

Unapohukumiwa adhabu hii na walimwengu wenzio basi kwa mungu hutohukumiwa na kuulizwa kwa dhambi hio ila utahukumiwa kwa dhambi nyengine.

Na mtu ili ahukumiwe kupigwa mikwajua au mawe lazima ashuhudiwe na watu 4 waliokua na akili timamau ama akiri kwa mdomo wake kua amezini ndio ahukumiwe tena akiri mara 4 kua amefanya

Makafiri hawahusiki na adhabu hii ni kwa waumini tuuu (WAISLAMU)

Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu alileta uzi hapa akidai Boko Haram ni watetezi wa wanyonge, halafu watu kama FaizaFoxy wakaunga mkono.
 
Last edited by a moderator:
Acha upotoshaji wewe,JF siyo blog zenu uchwara mlizozoea kupost kila uchafu. Video ya siku nyingi sana hii. Hebu uone haya
 
Ndugu yangu unapoamua kusema kitu au kuposti jambo kama hili kwanza naomba ulifanyie uchunguzi usikurupuke.

Hao waliomfanyia huyo mwanamke sio boko haramu usieasingizie na huyo aliepigwa mawe hio ilikua ni bora kwa kosa alilolifanya na ndio hakali kwake na hakuonewa nami naunga mkono hao boko haramu ni waislamu na km wamemuuwa mwanamke basi na huyo mwanamke ni muislamu mwenziwao

Kuna aya za kuruani katika hio video zinasomwa na kujirejea rejea unazijua maana yake tafsi yake iko hivi mungu alietuumba anasema:- " msikaribie zina hakika ya zina ni uchafu na mtakopomshuhudia mtu kazini akiwa mwanamke ama mwanamme na bado hajaolewa basi wapigeni bakora mia kila mmoja na usikuingieni imani kwao kwa kuacha kutekeleza amri ya mungu na kama 1 au wote wameshawahi kuingia katika ndoa basi wapigeni mawe hadi kufa kwao"

Unapohukumiwa adhabu hii na walimwengu wenzio basi kwa mungu hutohukumiwa na kuulizwa kwa dhambi hio ila utahukumiwa kwa dhambi nyengine.

Na mtu ili ahukumiwe kupigwa mikwajua au mawe lazima ashuhudiwe na watu 4 waliokua na akili timamau ama akiri kwa mdomo wake kua amezini ndio ahukumiwe tena akiri mara 4 kua amefanya

Makafiri hawahusiki na adhabu hii ni kwa waumini tuuu (WAISLAMU)

Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app
Wafahamu Mwamedi alisema nini kuhusu Kafiri? yule anayemuita mwenzie kafiri ndie kafiri... Waislam wanaabudu Mungu Mwezi nadhani ndio haswa wahusika mwamedi alicheza mchezo mchafu kuwatega waumini ni trick za shetani tu
 
Hii video ni mpya mm ndio kwanza naiona leo acheni kupotosha watu hii video ni mpya. Kwa ambao hawajaiona nyinyi mlioiona mnakurupuka badala ya kuipita tu.
Inasikitisha sana
 
Ndugu yangu mie mwamedi unasema wewe simjui na yeye pia kasema asichokijua hasa kama ni muislamu mtu unayohaki ya kumuita mtu kafiri kama utamuona na sifa za kafiri.

Mtu yoyote aliekua si muislamu basi huyo ni kafiri na mungu amefanya hivuo katika sehemu nyingi ktk Qur ani

Mungu wakati analeta maneno yake matukufu basi hata mungu aliwagawa viumbe vyake katika makundi tofauti mfano:-

Katika suratul Kafituu alisema " kulyaayuha lkafirun" maana yake ni (waambie enyi makafiri) katika aya hio mungu anaonesha kuwa wote wasiomfuta mtume walikua hawajaamini uislamu wakati inashuka hio aya mungu mwenyewe aliwaita makafiri
Wewe useme mwamedi kasema ukimwita mtu kafiri nawe unakua kafiri kwa hio mungu alipowapa hilo jina alikosea.

Katika suratu nissa mungu akasema "yaa ayuha nasu" maana yake ni "enyi watu" hapa mungu alileta ujumbe kwa watu wote makafiri na waisilamu (binaadamu wote)

Pia akasema katika suratul jumaa " kul yaayuha lazina amanu" maana yake ni (enyi mlio amini) hapa mungu aliongea na wale ambao walikua ni waislamu wameshaamini dini ya kiislamu.

Pia mtume alisema kua katika hadithi sahihi kua " tofauti ya muislamu na kafiri ni swala atakae acha swala ameshakufuru" kwa maana hio hata mtu akiwa anaitwa hemedi, Ali basi kama haswali huyo ameshakufuru na ipo haja na hakuna kosa kumuita kafiri.

Sasa kwa sababu hizo kwa nini nisimwite mtu kafiri?

Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app
 
Lakini hii video niliiona tangu mwaka jana.

Kwa hiyo kama ni ya mwaka jana ni vizuri kuua binadamu mwenzako kama mnyama? Ndio maana hatutaki hizo Mahakama za Kadhi, ni balaa tupu!
 
Mahakama ya kadhi inawahukumu waislamu tuuu sio watu wote "laa ikraa fiii dini" maana yake "halazimiahi mtu katika dini" wewe baki na ukiristo huyo aliemuumba ndio alisema adhibiwe hivyo kwa kosa hilo jamani musiingilie musichokijua

Mfano:- siku hizi mwizi katika mitaa yote hasa katika majiji wananchi wakimkamata wanampiga au wanamchoma moto hadi anakata roho jee hii mumeina sahihi na akifa kwa kipigo kile hajafa kinyama?

Hebu niambie ni dini gani na dhehebu gani lililosema hukmu ya mwizi ni kuuwawa?

"Lakumdinu kumu waliyadini" nyinyi muna dini yenu na wanaotaka mahakama ya kadhi wana dini yao musiwaingilie
 
Wafahamu Mwamedi alisema nini kuhusu Kafiri? yule anayemuita mwenzie kafiri ndie kafiri... Waislam wanaabudu Mungu Mwezi nadhani ndio haswa wahusika mwamedi alicheza mchezo mchafu kuwatega waumini ni trick za shetani tu

seriously ---- you hundred times,
 
Ndugu yangu unapoamua kusema kitu au kuposti jambo kama hili kwanza naomba ulifanyie uchunguzi usikurupuke.

Hao waliomfanyia huyo mwanamke sio boko haramu usieasingizie na huyo aliepigwa mawe hio ilikua ni bora kwa kosa alilolifanya na ndio hakali kwake na hakuonewa nami naunga mkono hao boko haramu ni waislamu na km wamemuuwa mwanamke basi na huyo mwanamke ni muislamu mwenziwao

Kuna aya za kuruani katika hio video zinasomwa na kujirejea rejea unazijua maana yake tafsi yake iko hivi mungu alietuumba anasema:- " msikaribie zina hakika ya zina ni uchafu na mtakopomshuhudia mtu kazini akiwa mwanamke ama mwanamme na bado hajaolewa basi wapigeni bakora mia kila mmoja na usikuingieni imani kwao kwa kuacha kutekeleza amri ya mungu na kama 1 au wote wameshawahi kuingia katika ndoa basi wapigeni mawe hadi kufa kwao"

Unapohukumiwa adhabu hii na walimwengu wenzio basi kwa mungu hutohukumiwa na kuulizwa kwa dhambi hio ila utahukumiwa kwa dhambi nyengine.

Na mtu ili ahukumiwe kupigwa mikwajua au mawe lazima ashuhudiwe na watu 4 waliokua na akili timamau ama akiri kwa mdomo wake kua amezini ndio ahukumiwe tena akiri mara 4 kua amefanya

Makafiri hawahusiki na adhabu hii ni kwa waumini tuuu (WAISLAMU)

Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app

seriously! ---- you hundred times
 
Kumradhi Video hi inatisha.

Mmoja kati ya wasichana 200 waliotekwa na boko haram amepigwa mawe mpaka kufa.

Natoa tahadhari video hi inatisha na inahuzunisha sana.

Tuungane a wenzetu kupinga ukatili na unyama huu.

Kwa hiyo kama ni ya mwaka jana ni vizuri kuua binadamu mwenzako kama mnyama? Ndio maana hatutaki hizo Mahakama za Kadhi, ni balaa tupu!

nimeunganisha na tukio la kutekwa kwa mabinti ambalo lilitokea mwaka huu mkuu.
Don't take it too emmotional Mr. moderator.
 
Ndugu yangu unapoamua kusema kitu au kuposti jambo kama hili kwanza naomba ulifanyie uchunguzi usikurupuke.

Hao waliomfanyia huyo mwanamke sio boko haramu usieasingizie na huyo aliepigwa mawe hio ilikua ni bora kwa kosa alilolifanya na ndio hakali kwake na hakuonewa nami naunga mkono hao boko haramu ni waislamu na km wamemuuwa mwanamke basi na huyo mwanamke ni muislamu mwenziwao

Kuna aya za kuruani katika hio video zinasomwa na kujirejea rejea unazijua maana yake tafsi yake iko hivi mungu alietuumba anasema:- " msikaribie zina hakika ya zina ni uchafu na mtakopomshuhudia mtu kazini akiwa mwanamke ama mwanamme na bado hajaolewa basi wapigeni bakora mia kila mmoja na usikuingieni imani kwao kwa kuacha kutekeleza amri ya mungu na kama 1 au wote wameshawahi kuingia katika ndoa basi wapigeni mawe hadi kufa kwao"

Unapohukumiwa adhabu hii na walimwengu wenzio basi kwa mungu hutohukumiwa na kuulizwa kwa dhambi hio ila utahukumiwa kwa dhambi nyengine.

Na mtu ili ahukumiwe kupigwa mikwajua au mawe lazima ashuhudiwe na watu 4 waliokua na akili timamau ama akiri kwa mdomo wake kua amezini ndio ahukumiwe tena akiri mara 4 kua amefanya

Makafiri hawahusiki na adhabu hii ni kwa waumini tuuu (WAISLAMU)

Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app

mnafiki mkubwa wewe. unatetea watu kupigwa mawe hadi kufa?? huyo Mungu wenu kama ndio anafundisha hivyo ni heri kusiwe na Mungu. watu na akili zenu mnafundishwa kubehave kama mbuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom