New Barrick Group kuinunua Acacia

New Barrick Group kuinunua Acacia

Kuna mzungu moja juzi akasema hivi "deni analodai Magufuli kwa Accacia ni Trip ya kwenda mwezini na kurudi" nilicheka sana. Lakini yote tisa ukweli mchungu ni kwamba hili deni haliwezekaniki kulipwa kabisa. Kibaya zaidi upande wa Serikali kumeshatokea mkanganyiko mkubwa sana kwenye TAKWIMU.

Nadhani njia pekee na ya kuweza kwenda mbele vizuri ilikuwa ni kupitia upya hii mikataba katika Sovereign Right ili kuzuia upigaji mwingine. Ila hii ya kuendelea kusaka wachawi sidhani kama itafanikisha kitu.
Nimecheka kama nilikuwepo!!

Mkuu Malcom, endapo serikali na timu yake wangekuwa makini na kuweka pembeni mihemuko, hili la mkanganyiko wala lisingetokea na kama lingetokea basi ungekuwa ni mkanganyiko unaokubalika hata kisayansi kwa sababu margin error ingekuwa within or not VERY VERY far from acceptable limit!

Unapoleta findings ambazo error ni above 100% hicho ni kiroja unless kama umejiandaa vya kutosha ku-defend hizo findings ambazo zina-underestimate all past findings duniani!

A moment Profesa Mruma alipotoa ile ripoti ya kwanza, nikazichakata data zake kisha nikaingia kwenye WORLD KNOWN DATA!

Hapo nimeandika kwa msisitizo kwa sababu nilijua no matter what, kuwa na logical demand ni lazima demand hiyo iendane na takwimu zinazofahamika duniani kinyume chake, tutatakiwa ku-prove otherwise!

Ilinichukua less than 30 minutes tangu wakati Mruma asome ile ripoti kugundua kwamba, kama ripoti yake ni sahihi basi maana yake Tanzania itakuwa among top 3 world gold producers wakati takwimu za dunia zinaonesha hatupo hata among top 10 !!!

Inawezekana ni kweli tupo among top 3 against world known statistics lakini hizo ni new findings known nowhere else except kwenye makarabrasha yetu au ya wale "wanaopika takwimu za uzalishaji dhahabu duniani"

Mbaya zaidi, wakati ripoti ile ingemaanisha world gold production statistics hazipo sahihi, ripoti yenyewe tulikuwa tumeiandaa wenyewe bila kushirkisha upande wa pili! Kwamba, tunatarajia ku-argue against official world gold statistics kwa kutumia data tulizotengeneza wenyewe not from new geological findings but from makontena ya makinikia!

Kuja ripoti ya Profesa Mrosso na USD 190 Billion, nikakuta hata Market Cap ya Barick Gold yenye kampuni 7 ndani yake including Acacia, haifiki hata $40 Billion (at least kwa wakati ule). Ukija kwenye annual revenue ya Barrick Gold yenye kampuni 7 ndani yake ilikuwa haifiki hata $10 na net income haifiki hata $ 5 Billion.

Kinyume chake, ilikuwa ukitafsiri ripoti ya Profesa Mrosso, unakuta Acacia peke yake walikuwa wanatuibia annual tax ya about USD 4 Billion... hiyo ni kodi tu!! Kama kodi ingekuwa ni 40% ya mapato, ina maana mapato ya Accacia peke yake ni USD 10 Billion!

Kwamba, mapato ya Acacia peke yake yanazidi mapato yote ya Barrick Gold ambayo ndani yake kuna hiyo Acacia!

Argument yetu ilikuwa simple and clear kwamba, "hizo takwimu za akina Barrick ni za uongo kwa sababu ni wezi!" Na inawezekana kabisa kwamba ni za uongo lakini tulisahau kwamba, kisheria hizo hizo takwimu za uongo ndizo zitakazotumika kwa sababu ndizo official financial statisticts zinazotumika hata kwenye masoko makubwa duniani kama New York and London Stock Exchange including NASDAQ!

Tahadhali yangu hapa ilikuwa, tusipojua tunadai nini basi itakuwa ngumu sana ku-defend madai yetu. Na haya yalitokea kwa sababu zoezi zima lilitawaliwa na mihemuko ya kisiasa!
 
Ondoa mapumba yako hapa chadrama mlaaniwa walahi
Crazy psychopath walahi
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mkuu sijakuelewa bado...unamaanisha unataka kuona Mwizi anaiba sawa na kile anachomiliki au una maana gani??
Sisi tunawadai kile tulichoona wanatuibia,maswala ya accacia wanathamani ya kiwango kipi sisi haituhusu
Mpaka sasa mmelipwa shilingi ngapi kati ya zile Trilioni 450?!

Ngoja nikuulize swali moja: let's assume OFFICIAL (not necessarily right) data zinasema pale BOT kuna Billion 100. Moment later, unaambiwa kuna mtu amevunja BOT na kuiba Billion 1000... how does that sound?!

Ukimfikisha mahakamani huyu mtu na kuulizwa unaibaje Billion 1000 kutoka kwenye Billion 100 jibu lako litakuwa vipi? Can you defend that?!

REMEMBER, it's not about what's right and what's wrong but it's about how you can defend your wrong or your right argument! Ili kuwafurahisha watu aina yako, tunaweza kusema kwamba tunawadai hata USD 190 Trillion... then what?! Kama huwezi kutetea hizo USD 10 Trillion zinakujaje kujaje under the existing condition, then madai yako yataonekana ni kiroja tu na mbaya zaidi, utaonekana hujui hata unadai nini!
 
Kwa taarifa hii hhatakua na la kusema
Acacia walikua wezi wamechafua sana jina la Barrick,ndio maana wameamua kuifuta kwenye uso wa dunia
Ina maana ule mshahara wa advocate utakuwa umekatwa rasmi!
 
Kwani braza p.mayala yeye anasemaje maana haya mambo yeye akiyadadavua ndo namuelewaga vizuri
 
Amen.
Kuna watu walifikiri Magufuli akiingia madarakani hakutokuwa na vipindi vigumu vya kupitia.....sasa mambo yanaanza kukaa sawa na Mungu amjalie afya njema na Moyo Wa ujasiri zaidi ya ule aliokuwa nao mwanzo.
 
Hii mikataba bila kuwekwa wazi tutaendelea kuchezea za mbavu tu maana aina za viongozi waliosaini ile mikataba ya mwanzo ndiyo bado tunao hadi leo hii
Nakubaliana kabisa na wewe mkuu, tunahitaji uwazi sana kwenye Extractive Business Concessions. Hadi Benki ya Dunia wametoa hayo mapendekezo.
 
Mkuu sijakuelewa bado...unamaanisha unataka kuona Mwizi anaiba sawa na kile anachomiliki au una maana gani??
Sisi tunawadai kile tulichoona wanatuibia,maswala ya accacia wanathamani ya kiwango kipi sisi haituhusu
Nakubaliana kabisa na wewe mkuu wangu, lakini uhalisia ni kwamba thamani ya kampuni mama ni ndogo kama mara tatu hivi kwa thamani ya deni. Kibaya zaidi ni kwamba deni hilo ni la malimbikizo ya miongo miwili. Njia mbadala ni kutumia hili deni kama rungu ndani ya mazungumzo, japo sasa kibaya ni kwamba serikali isijikanyage kubadilisha badilisha kiasi che deni....
 
Nimecheka kama nilikuwepo!!

Mkuu Malcom, endapo serikali na timu yake wangekuwa makini na kuweka pembeni mihemuko, hili la mkanganyiko wala lisingetokea na kama lingetokea basi ungekuwa ni mkanganyiko unaokubalika hata kisayansi kwa sababu margin error ingekuwa within or not VERY VERY far from acceptable limit!

Unapoleta findings ambazo error ni above 100% hicho ni kiroja unless kama umejiandaa vya kutosha ku-defend hizo findings ambazo zina-underestimate all past findings duniani!

A moment Profesa Mruma alipotoa ile ripoti ya kwanza, nikazichakata data zake kisha nikaingia kwenye WORLD KNOWN DATA!

Hapo nimeandika kwa msisitizo kwa sababu nilijua no matter what, kuwa na logical demand ni lazima demand hiyo iendane na takwimu zinazofahamika duniani kinyume chake, tutatakiwa ku-prove otherwise!

Ilinichukua less than 30 minutes tangu wakati Mruma asome ile ripoti kugundua kwamba, kama ripoti yake ni sahihi basi maana yake Tanzania itakuwa among top 3 world gold producers wakati takwimu za dunia zinaonesha hatupo hata among top 10 !!!

Inawezekana ni kweli tupo among top 3 against world known statistics lakini hizo ni new findings known nowhere else except kwenye makarabrasha yetu au ya wale "wanaopika takwimu za uzalishaji dhahabu duniani"

Mbaya zaidi, wakati ripoti ile ingemaanisha world gold production statistics hazipo sahihi, ripoti yenyewe tulikuwa tumeiandaa wenyewe bila kushirkisha upande wa pili! Kwamba, tunatarajia ku-argue against official world gold statistics kwa kutumia data tulizotengeneza wenyewe not from new geological findings but from makontena ya makinikia!

Kuja ripoti ya Profesa Mrosso na USD 190 Billion, nikakuta hata Market Cap ya Barick Gold yenye kampuni 7 ndani yake including Acacia, haifiki hata $40 Billion (at least kwa wakati ule). Ukija kwenye annual revenue ya Barrick Gold yenye kampuni 7 ndani yake ilikuwa haifiki hata $10 na net income haifiki hata $ 5 Billion.

Kinyume chake, ilikuwa ukitafsiri ripoti ya Profesa Mrosso, unakuta Acacia peke yake walikuwa wanatuibia annual tax ya about USD 4 Billion... hiyo ni kodi tu!! Kama kodi ingekuwa ni 40% ya mapato, ina maana mapato ya Accacia peke yake ni USD 10 Billion!

Kwamba, mapato ya Acacia peke yake yanazidi mapato yote ya Barrick Gold ambayo ndani yake kuna hiyo Acacia!

Argument yetu ilikuwa simple and clear kwamba, "hizo takwimu za akina Barrick ni za uongo kwa sababu ni wezi!" Na inawezekana kabisa kwamba ni za uongo lakini tulisahau kwamba, kisheria hizo hizo takwimu za uongo ndizo zitakazotumika kwa sababu ndizo official financial statisticts zinazotumika hata kwenye masoko makubwa duniani kama New York and London Stock Exchange including NASDAQ!

Tahadhali yangu hapa ilikuwa, tusipojua tunadai nini basi itakuwa ngumu sana ku-defend madai yetu. Na haya yalitokea kwa sababu zoezi zima lilitawaliwa na mihemuko ya kisiasa!
Mkuu Chige umesema ukweli kabisa tatizo la serikali ni kwenda mbele halafu kurudi nyuma kitakwimu na kurekebisha ile idadi ya mwanzoni. Japo sasa uthibitisho wa wizi kisheria ulikuwepo, kwasababu kuendesha biashara kubwa kama ile bila usajili ni ukwepaji mkubwa sana wa kodi.
Lakini pia kutumia mwanya kuchukua madini mengine ambayo hayakuanishwa kwenye mikataba hili nalo ni tatizo kubwa.

Yote tisa, siku nyingine mzee aende taratibu, ili kuzuia mkanganyiko wa namna hii. Pia wanasiasa wasitunishiane misuli kwasababu tunahitaji sana umoja wa kitaifa kwenye mambo kama haya. Leo hii watu wengi wanashindwa kukubali ukweli kama Barrick wametupiga kwasababu ni CHADEMA tu au hata wengine wanaunga mkono kila kinachosemwa na serikali bila kuchambua vizuri kwasababu tu wako CCM.

Tufike mahali tubadilike ili twende mbele.
 
Mpaka sasa lengo lisiwe kupewa hela tu, maana hata kama wanalikubali hilo deni, hawatakuwa na uwezo wa kulilipa yaani its simply a Bad Debt. Muhimu ni kukaa kwenye mazungumzo na kuangalia jinsi gani nchi yetu inaweza kufaidika na huu uwekezaji bila kulaliwa tena kiboya-boya maana hata kama takwimu ziwe vipi bado hawa jamaa walikuwa wanatupiga sana. Kusema walikuwa hawapigi tutakuwa waongo.....
Nyumbu wafuasi wa tundu za risasi hawatakuelewa
 
Ondoa mapumba yako hapa chadrama mlaaniwa walahi
Crazy psychopath walahi
ISIS for once dada ungeacha ku comment kishabiki , ujib hoja kwa hoja. Ushabiki kwenye mambo kama haya haufai. Si kila naehoji ni chadema na si kila anawsifia ni ccm. Wengine hawana vyama ila wanataka kufaham ukweli.
Si kila mahal pa kuweka siasa
 
Back
Top Bottom