asante sana, ila naombeni mawazo zaidi.Adjacent na Oil Com Mikocheni kuna apartment zinaitwa Dar Villa ziko opposite na TMJ Hospital
Mawazo zaidi kwenye nini??asante sana, ila naombeni mawazo zaidi.
Samora avenue kuna jengo jipya nadhani lipo kwenye junction ya samora na morogoro road.
Nataka za kununua, hapa mjini
Mtafute Kitomai kupitia 0717 11 44 09,
Yule jamaa anauzaga kila kitu!!