New apertment

Adjacent na Oil Com Mikocheni kuna apartment zinaitwa Dar Villa ziko opposite na TMJ Hospital
 
Samora avenue kuna jengo jipya nadhani lipo kwenye junction ya samora na morogoro road.
 
Inaitwa apartment na sio apertment acheni kuharibu lugha ya watu.
@shadya
maana imenichukua muda kujua ni nini hicho unachoulizia .
 
Mtafute Kitomai kupitia 0717 11 44 09,
Yule jamaa anauzaga kila kitu!!
 
sokoni mama, utapata kila kitu. Hivi Kitomai yuko wapi? nina siku nyingi kweli sijamsoma hapa
 
Pale kisutu,stendi ya zamani ya mabasi ya moshi arusha.lile gorofa lenye barclay bank zipo zinaanzia dola elfu 90. Pia pale cona ya kuingia muhimbili.(lilipokuwa jengo la Ccm) pia ni 4sale
 
Back
Top Bottom