New allocation batch release two | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New allocation batch release two

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by abdallah masoud mrua, Sep 23, 2012.

 1. a

  abdallah masoud mrua New Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  HABARI ZENU WAUNGWANA! NIMEONA TTLE BOARD YA MIKOPO LIKISEMA NEW ALLOCATION BATCH RELEASE TWO, NA WAKATOA SABABU ZA KUTOTOA YALE MAJINA KWA MARA YA KWANZA. SASA TUNAJARIBU KUYAFUNGUA YALE MAJINA LAKINI HAYAFUNGUKI, KAMA KUNA MTU ANAYO EM TUTUPIENI BASI WAUNGWANA, WENZENU PRESSURE JUU KAMA NIMEKAMATWA NA POLICE KWA KOSA LA JINAHI. WALIYOYAANDIKA NI HAYO HAPO CHINI

  New Allocation Batch Release Two
  The following are names of first year students who were previously not allocated loans due to the following reasons:

  1. System coding problems.
  2. Differing index numbers between TCU admission list and OLAS list.
  3. Differing names.
  4. Different interpretation of Technical and Vocational Education Training (TVET)
   
 2. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tusaidie link mkuu, maana nimecheki web ya board sijaona icho unachosema.
   
 3. U

  Ulamaa Hemed Senior Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umeyatoa wapi hayo maneno mbona HESLB hamna
   
 4. k

  kidulile1 Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba niulze kuna faida gan kubwa ya kuchaguliwa kuptia tcu jaman coz cjaona kwa upande wangu m nilzan ukchaguliwa na tcu unaweza kupewa ata %0 ya mkopo jaman
   
 5. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mmeona wapi hichokitu?
   
 6. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana liliwekwa then likaondolewa ila naona kuna 7 bots online, let's wait and see.
   
 7. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa HESLB kuna 10 bots online.
   
 8. s

  snagyguy Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hiyo kitu ina ukweli ndani yake? maana watu bado tuna pressure za kukosa mkopo.
   
 9. r

  rerotun Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kitu ni kweli? Maana kwenye website sioni kitu.
   
 10. M

  Mwigo45 Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kama kuna mtu amepata link tusaidieni kwani kama kawaida pressure za watanzania huwa zinapanda na kushuka kwa sababu ya kutokuwa na uhakika wa mambo mengi.
   
Loading...