Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,538
- 8,733
- Thread starter
-
- #61
Follow your heart in terms of good intentions and deeds. Manifest your dream without breaking God limitations.Kupenda dini na kumpenda Mungu ni tofauti ikiwa unampenda Mungu kweli basi usijiwekee mipaka .
Sehemu pekee inayowakwamisha watu wa dini ni kujiwekea mipaka .
Mungu ni omnipresent na ni omnipotent Mungu hana mipaka na yupo mahala popote.
So katika kufanya 'manifestation' ni jambo la kweli na linatokea Mimi huwa nafanya Sana manifestation katika baadhi ya mambo yangu.
Ikiwa jambo haulielewi usilibishie Ila jaribu kulichimba kwa ndani.
Mambo ya kiroho hayana mipaka unaweza kutoka hapo ulipo na ukachungulia Mahala popote duniani maana universe imeunganishwa ni kitu kimoja.
Follow ur heart - hii ni kweli
Manifest ur dream - ni kweli
So dig more knowledge u will become smarter than you used to be.
Na wewe hauna sababu ya kupingana na ukweli , kwa habari za kiimani tu .Absolutely
😁😁Mbona sisi walokole Kila siku? Kwani Nyie wa bikra sevente mbili na na mito ya wine hamhusiki?Vijana wa kilokole kila siku watamkiwa POKEA ,miaka inasonga na hakuna cha maana wanachopokea ila wapo tu .
Follow your heart in terms of good intentions and deeds. Manifest your dream without breaking God limitations.
Sijawahi kujihusisha na dini ya aina yoyote mkuu , ila apo ni pipa na mfuniko tu.😁😁Mbona sisi walokole Kila siku? Kwani Nyie wa bikra sevente mbili na na mito ya wine hamhusiki?
cc: Alister CrowleyDo what thou wilt
Ukiwa tayari kuelezea juu ya tree perspective unitag kiongozi tafadhaliDon't go beyond God limitation that is true
Kikubwa ishi Kama Mungu anavyotaka , usimwabudu MTU wala usipende kuabudiwa.
Be positive
Na mwisho jifunze hii kanuni.
'Tree perspective'
-Fruits
-Oxygen
-Shadow
Ntaelezea kuhusu tree perspective this will make you to fire and hire the people who supposed to be closed to you.
Am waiting for that concept of Tree perspective, hope it will enlight me and expand my awareness.Don't go beyond God limitation that is true
Kikubwa ishi Kama Mungu anavyotaka , usimwabudu MTU wala usipende kuabudiwa.
Be positive
Na mwisho jifunze hii kanuni.
'Tree perspective'
-Fruits
-Oxygen
-Shadow
Ntaelezea kuhusu tree perspective this will make you to fire and hire the people who supposed to be closed to you.
Mifano ya maneno hayo ni:Don't go beyond God limitation that is true
Kikubwa ishi Kama Mungu anavyotaka , usimwabudu MTU wala usipende kuabudiwa.
Be positive
Na mwisho jifunze hii kanuni.
'Tree perspective'
-Fruits
-Oxygen
-Shadow
Ntaelezea kuhusu tree perspective this will make you to fire and hire the people who supposed to be closed to you.
Uta expand vip awareness yako wakati unategemea damu ya yesu?Am waiting for that concept of Tree perspective, hope it will enlight me and expand my awareness.
Wapi tena nimesema kuhusu damu ya yesu, kwanza yesu si hayupo duniani hiyo damu yake nategemea kivipi?Uta expand vip awareness yako wakati unategemea damu ya yesu?
Nikajua mlokole, points zako kwenye mada zinapingana na unachokitakaWapi tena nimesema kuhusu damu ya yesu, kwanza yesu si hayupo duniani hiyo damu yake nategemea kivipi?
Nadhani ni kwasababu bado unajaribu kujua ni ipi hasa imani yangu au dhehebu languNikajua mlokole, points zako kwenye mada zinapingana na unachokitaka
Mimi kesho mapema ibada ya kwanzaSijawahi kujihusisha na dini ya aina yoyote mkuu , ila apo ni pipa na mfuniko tu.
Kweli, japo ukweli lazima usemwe
Ukae siti ya mbele kabisa upimie watoto wazuri 🤗Mimi kesho mapema ibada ya kwanza
Thibitisha unachokisema ni ukwel na sio maneno ya kiimani tu.Kweli, japo ukweli lazima usemwe
Haiwezi kuwa kweli kama sio maneno yatokanayo na imaniThibitisha unachokisema ni ukwel na sio maneno ya kiimani tu.
Don't go beyond God limitation that is true
Kikubwa ishi Kama Mungu anavyotaka , usimwabudu MTU wala usipende kuabudiwa.
Be positive
Na mwisho jifunze hii kanuni.
'Tree perspective'
-Fruits
-Oxygen
-Shadow
Ntaelezea kuhusu tree perspective this will make you to fire and hire the people who supposed to be closed to you.