Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,538
- 8,731
Ushoga live aiseeHellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo yanatia mashaka kwani ni dalili ya kwamba mtu anaweza kuwa mpagani bila kujijua. Pia maneno hayo tunayaiga kutoka kwa watu wa mataifa ya mbali.
Na huyo mtu unakuta ana imani yake ya dini lakini bado anazama katika misemo hii ya kileo bila kujua misingi na lengo kuu hasa.
Mifano ya maneno hayo ni:
• Do whatever you want
• Follow your heart
•You be you
• Believe in yourself
• Manifest your dreams
• My life my rules
• Do what feels right for yo
Jesus said to all : If anyone would come after me, let him deny himself and take up his cross daily and follow me. ( Luke 9:23)
Hivyo, kama mtu umeamua kuwa muumini wa kweli basi sio vyema kubadili na kujipa mamlaka ya kuendesha na kusimamia maisha yako bila kumuelekea Bwana wako kwani yeye ndiye mwenye mamlaka makuu juu yako.
yalikuwepo sema wewe umeyakuta.yapo mpaka dunia itakapofika mwisho wakeHellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo yanatia mashaka kwani ni dalili ya kwamba mtu anaweza kuwa mpagani bila kujijua. Pia maneno hayo tunayaiga kutoka kwa watu wa mataifa ya mbali.
Na huyo mtu unakuta ana imani yake ya dini lakini bado anazama katika misemo hii ya kileo bila kujua misingi na lengo kuu hasa.
Mifano ya maneno hayo ni:
• Do whatever you want
• Follow your heart
•You be you
• Believe in yourself
• Manifest your dreams
• My life my rules
• Do what feels right for yo
Jesus said to all : If anyone would come after me, let him deny himself and take up his cross daily and follow me. ( Luke 9:23)
Hivyo, kama mtu umeamua kuwa muumini wa kweli basi sio vyema kubadili na kujipa mamlaka ya kuendesha na kusimamia maisha yako bila kumuelekea Bwana wako kwani yeye ndiye mwenye mamlaka makuu juu yako.
Neno pagan ni neno la kikoloni ambalo limetumika kubagaza imani za asili za watu tofauti na wakoloni.Hellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo yanatia mashaka kwani ni dalili ya kwamba mtu anaweza kuwa mpagani bila kujijua. Pia maneno hayo tunayaiga kutoka kwa watu wa mataifa ya mbali.
Na huyo mtu unakuta ana imani yake ya dini lakini bado anazama katika misemo hii ya kileo bila kujua misingi na lengo kuu hasa.
Mifano ya maneno hayo ni:
• Do whatever you want
• Follow your heart
•You be you
• Believe in yourself
• Manifest your dreams
• My life my rules
• Do what feels right for yo
Jesus said to all : If anyone would come after me, let him deny himself and take up his cross daily and follow me. ( Luke 9:23)
Hivyo, kama mtu umeamua kuwa muumini wa kweli basi sio vyema kubadili na kujipa mamlaka ya kuendesha na kusimamia maisha yako bila kumuelekea Bwana wako kwani yeye ndiye mwenye mamlaka makuu juu yako.
Toa ujinga wako hapaHellow brothers and sisters.

Hapo inamaana tatizo ni vijana wenyewe na wala sio hizo imaaniZamani watu walikua wastahimilivu sana na walikua na vifua sana mtu anafarijiwa kanisani/msikitini lkn hamna cha maana anachopata na haoni kama ni shida, ila vijana wa saivi maisha yamekua magumu umletee porojo za utakua billionea kwa maombi?
Ni kweli hakuna jipya ila kwa sasa yameshika kasi sana kutokana na uelewa au elimu ndogo ya dini kwa waumini wengi wa hizo dini husikayalikuwepo sema wewe umeyakuta.yapo mpaka dunia itakapofika mwisho wake
And the illusion of self freedom will lead many into the wrong direction.And that's the true meaning of self freedom
Pia mtu akijitambulisha kama mpagani basi anakuwa mtu ambaye hana misingi ya kiimani na haieleweki katika jamii zetuNeno pagan ni neno la kikoloni ambalo limetumika kubagaza imani za asili za watu tofauti na wakoloni.
Ni neno fulani la dharau ambalo wasomi wa zama hizi wanakataa kulitumia.
Sawa, pia huo ni mtazamo wako.Yes, follow your heart. Sasa how are you going yo be limited na maneno ya watu waliokufa miaka mingi huko nyuma wakupangie namna ya kuishi?
Wewe ni mtu mzima una akili zako, huwezi kua confined kwenye mawazo ma mtazamo wa watu wengine.
Paganism ni stori tu na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
kwa sisi tunaopitia elimu za wisdom unaweza kuona dunia inatishaNi kweli hakuna jipya ila kwa sasa yameshika kasi sana kutokana na uelewa au elimu ndogo ya dini kwa waumini wengi wa hizo dini husika
Kama unaweza utoe wewe mimi sijui nianzie wapi kuutoa.Toa ujinga wako hapa
Na wewe umpe hongera mdogo wako shetani maana sikuhizi amefanikiwa sana kuwa na wafuasi wanao mfwata bila wao kujijuakwa sisi tunaopitia elimu za wisdom unaweza kuona dunia inatisha
How? Why? To me self freedom is crucial for personal growth and fulfillment. It empowers individuals to make choices that align with their values and aspirations, leading to live maisha wanayoyataka ilimradi usivunje sheria. We live only once, lets make the most of it.And the illusion of self freedom will lead many into the wrong direction.
Vijana hawana tatizo lolote ni kwamba wameamua kuuishi uhalisia wao wanatafuta riziki zao wanaishi, Sasa wahafidhina kama ww ndo mnakua wagumu kukubaliana na lifestyle ya vijana mnataka waendelee kuishi kama wazee wao ambao walikumbatia Kila kitu bila kuchuja vituHapo inamaana tatizo ni vijana wenyewe na wala sio hizo imaani
shetani hausiki ila sisi tumemzidi shetani maana elimu zote zilitoka kwa watu wa mungu.Na wewe umpe hongera mdogo wako shetani maana sikuhizi amefanikiwa sana kuwa na wafuasi wanao mfwata bila wao kujijua
Hiyo riziki ambayo vijana wanatafuta, Inatoka kwa Mungu na hakuna anaye pata kwa ujanja wake pasipo na kibali kutoka kwa aliye juu.Vijana hawana tatizo lolote ni kwamba wameamua kuuishi uhalisia wao wanatafuta riziki zao wanaishi, Sasa wahafidhina kama ww ndo mnakua wagumu kukubaliana na lifestyle ya vijana mnataka waendelee kuishi kama wazee wao ambao walikumbatia Kila kitu bila kuchuja vitu