Upo sahihi, ndiyo nimezisoma vitabu vyote Viwili. kumanisha Biblia na Quran nimesoma pia vitabu vingine.
Vitabu ambavyo nimevisoma ni pamoja na vitabu vya wicca, voodoism, magic in theory and Practice by Alister Crawley na vingine vya Occult na ne age.
Vitabu vya uikristo na uilsmam nkimanisha bible/quran naweza kusema are the books of Law or kwa maana nyingine ni vitabu vya falsafa zinazo jikita kwenye maisha chanya ya mwanadamu na mzizi wake mkubwa ni imani (faith) na ujumbe wao umefanana sana sema moja ipo kiarabu watu hawajui kutafsiri zile dua. Na hakuna masharti kwamba ukitaka kitu flani lazima ufanye au utoe kitu flani. Ww pray and have faith and words will manifest into things.
Nipo proud kuamini vitabu hivo at least simjui aliye viandika. Sijawahi kumuona kwa sura ila nimevikuta. Kwa hiyo siwezi kuwa nina uhakika wa mawazo yangu pale ninapokosoa vitabu hivi.
Kwa upande wa vitabu vya new age naweza kuwa na uhakika wa kuvikosoa kwa kuwa vimeandikwa na wanadamu katika zama zetu na walioandika vitabu hivo falsafa zao za kiuandishi zinajulikana kuwa wame base kwenye 3,6 and 9 ( kama umenielewa chagua namba). Vitabu vya occult na New age vilianza kuvuma baada ya society moja inayoitwa Theosophical Society ambao ni watu kama helena blavatsky miaka ya 1800.
New age ilishika kasi miaka ya 1960 na kuendelea ambapo watu maarufu katika historia kama Jim Jones walijihusisha na movement hiyo na kutoa mamia ya watu kafara.
James Warren Jones (May 13, 1931 – November 18, 1978) was an Americanreligious cult leader who, along with his inner circle, initiated and was responsible for a mass suicide and mass murder in Jonestown, Guyana.
By the early 1970s, Jones began deriding traditional Christianity as "fly away religion", rejecting the Bible as being a tool to oppress women and non-whites, and denouncing a "Sky God" who was no God at all. Jones wrote a booklet titled "The Letter Killeth", criticizing the King James Bible.
Jones also began preaching that he was the reincarnation of Gandhi, Father Divine, Jesus, Gautama Buddha, and Vladimir Lenin. Former Temple member Hue Fortson, Jr. quoted Jones as saying, "What you need to believe in is what you can see ... If you see me as your friend, I'll be your friend. As you see me as your father, I'll be your father, for those of you that don't have a father ... If you see me as your savior, I'll be your savior. If you see me as your God, I'll be your God."
Source Jim Jones Wikipedia.
Deep meditation iliwafanya mapepo wachafu waingie kwao na wakaanza kujiona wao ndo mungu/yesu kwamba wao ndo kama manabii flani.
Nikisema dini hii ni ya kishetani nina uhakika kwani waanzilishi wake maarufu ni occult members na hamna siri.
Kwa upande wa wakristo na waslam wajue kuwa mfumo wa uongozi wa dini hizi upo kama pyramid au pembe tatu. Wengi waliochini ni waumini hawajui makanisa na miskik kwa undani, wao waumini wanafanya zao ibada na kirudi nyumbani. Ila usiamini katika alama za nyota mwezi msalaba etc wewe amini tu neno/ ujumbe. Statues and symbols achana nazo.
Sent using
Jamii Forums mobile app