Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.

syllabus inatusumbua zaidi sisi form 5 kwa sababu walimu inaonekana kuwashinda na ukiomba msaada kwa form 6 wanakufundisha vitu ambavyo havipo kwenye syllabus...

Ni kweli hata mie nimecheki History2 asilimia 50% ni yale tuliyokuwa tunaambiwa yako H3,mfano Vietnam war,China revoltn n.k.sijuhi kama wafundishaji wanayaelewa vizuri haya mambo ama ndo kwanza wengine wanayaona kwenye silabi...poleni sana!

Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.

Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.

Topic za river lakes undergr0und water, n 0cean zimeundwa pam0ja na kuwa WATER MASS.. Soil imepunguzwa hutos0ma soil textr na c0mpont tena.. Casregi0n imetolea in means utais0ma kwenye lake f0mati0n, rain, n wind er0sn n limest0n.

Map imekuzwa kuwa activ d0go..

N0thn new kwenye Geog just wamepangua pangua.

U gat me?

Japokua Format zimekuja lakini bado tatizo ni kubwa.

mimi ni mwalimu wa history,kwa bahat nzuri ninayo format ya necta kwa masomo yoote,maana nilienda semina,na kwakweli tatizo kubwa ni vitabu.ila NECTA wameshatoa mpaka na jinsi mtihan utakavyokuwa,watakaosoma kwa topic za zaman ni form 5 na 6 wa SAYANSI TU,,,,,,,,,kama upo dar jitahidi tuonane nikupe mwongozo

Bora nilimaliza mapema! Mtakoma, na naskia maswal wamepunguza. Pigen kitabu madogo mje kugombana na tcu na nyie. Sala pia zihusike,mtamainie mungu katika kila jambo ndugu zangu.

Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.

mwenyewe nilisoma Jiogr k6 ila cifahamu hiyo mada hata maswali cjui yakoje 2005

Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.