Never trust a woman

hatuna jinsi thats why tunawakabidhi maisha yetu. lakini hati ya nyumba, kadi ya benki huzioni ng'ooo ha ha.
ha haaa, yako nisipoiona wala sipati tabu......
pale nyumbani kwangu mimi ndo waziri wa mambo ya ndani/fedha...
kila kitu kinachohusu ile familia lazima kipate sahihi yangu, hata kwa remote control
 
usiponiamini ndio vizuri, kwa sababu hata mm sikuamini.
 
ha haaa, yako nisipoiona wala sipati tabu......
pale nyumbani kwangu mimi ndo waziri wa mambo ya ndani/fedha...
kila kitu kinachohusu ile familia lazima kipate sahihi yangu, hata kwa remote control
ha ha kumbe unaaminika. vizuri kwa kutokuwepo kwenye group la wanawake wa himidini
 
ha ha kumbe unaaminika. vizuri kwa kutokuwepo kwenye group la wanawake wa himidini
Hahahaha umenifanya nifurahi hapo nilipo-underline. Nakumbuka kuna kundi flani la wamama nilikua nimekaa nao kwa issue flani basi kukazuka kamjadala ka namna hii na wengi wao wakasema kwamba wanaume hawaaniki hata kidogo tena usipoteze muda wako kuwaamini na walitoa sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na mifano ya waume zao. Ikabidi niwaombe wamtoe mume wangu kwenye hilo kundi na waseme wanaume hawaaminiki isipokua mume wa Ablessed.
 
hamuaminiki , toka enzi za mama yenu Eva!!!!!!!!!!! period............
 
wengine wanasema, LOVE ALL BUT TRUST ONE, sijui hii nayo imekaaje hapo
 
Only a complete bozo would trust a woman completely. Put your trust in God and all will be well.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…