never trust a woman part 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

never trust a woman part 2

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DOOKY, Sep 3, 2012.

 1. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hello there
  baada ya mkasa wa kwanza na mwendelezo huu ni mkasa mwingine ambao umempata rafiki yangu....alikutana na mrembo (mchanga), kwa siku ya kwanza siku iliyofuata msichana akakubali wakapanga mengi ya maisha, cha kushangaza yule dada akasema ana mtu na kuanzia siku hiyo anaachana naye ili awe na jamaa. wakakubaliana.
  siku ya tatu msichana akasafiri kwenda Moshi(kwa maelezo ya msichana)... jamaa akapigiwa simu na msichana kuwa amemiss hivyo anaomba amtumie nauli ya kuja Bongo weekend (akatuma). Weekend jamaa akampigia msichana ajue amefika wapi safarini ili apange time ya kumpokea. msichana akajibu yuko Mombo, baada ya saa moja jamaa akapiga tena akaambiwa asiwe na wasiwasi yuko njiani lakini hajui sehemu walipo, jamaa akashtuka kutokana na kutosikia makelele ya magari, mwendo kasi na vurugu za usafiri msichana akamjibu kuwa basi limepaki limeharibika... jamaa akadadasi sana.. msichana akamwambia hajasafiri kokote kutokana na kuchelewa kuamka. jamaa akawaka sana, yakaisha, siku iliyofuata msichana akaomba vocha(akatuma), siku tatu wakazinguana jamaa anadai nauli yake (msichana akamzingua). Jumapili ya jana akabeepiwa jamaa(akapiga) akaambia aje Sterio baa Kinondoni... msichana akasema amefika Dar kutoka Moshi jumamosi(bila kumpa taarifa jamaa).  Jamaa akaenda akafanya uchunguzi wa eneo akaona hola (akapiga simu kwa msichana), akapokea mwanaume.. (jamaa akakata simu) Itaendelea.. never trust a woman
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Never trust a human being...!
   
 3. M

  Mlabondo Senior Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanawake ni watu Wa ajabu
   
 4. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  unataka kuwaweka wanawake wote kwenye huu mkumbo kwa ajili ya upoyoyo wa rafiki yako?yani mwanamke akutane nae leo then kesho eti waanze mipango ya maisha akimtapeli kisha useme women are not to be trusted!hujamjua mwanamke na silka zake mwache kama alivyo katika ubinadamu wake!
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  wanawake wote wako vile vile . mpaka biblia inasema tuishi nao kwa akili maana mi nilishaamua tu niwaache tu
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ngoja nifungue kampuni ya kutapeli mibaz.azi ya mjini yote.
   
 7. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  teh teh teh!huyo jamaa ni Rais wa mazoba enhe?
   
 8. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  mambo kongosho!umehesabiwa sensa?walikuuliza wewe jinsia gani?ukawajibuje?
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  sijui wanawatowaga wapi hao poyoyo.....si udate na mtu decent.........
   
 10. peri

  peri JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  huyo jamaa ni kilaza, sio wanawake wote wako hivyo.
  Hata wanaume tupo ambao hatufai.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  nilimwambia tu, nikimjibu tu, namuoa regardless ya jinsia yake.

   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  I never trust anyone in the planet. Tuishi kihivyo hivyo kwa upendo ili maisha yaende. Both kwa wanaume na wanawake, hakuna wa kulaumu katika makundi haya mawili ya wanyama sorry binadamu or mamals!!
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  never trust a human being
   
 14. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,233
  Likes Received: 10,220
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa mjinga sana tena hana akili. wewe kakuambia anajamaa halafu bado umo. Kula mzigo tambaa mbele hawafai hawa wanyama.
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Akili zao ni short circuit
   
 16. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  ukipenda vilivyojifia ndo gharama zake!
  siku ya kwanza, ya pili vibomu vimeanza mtoto mwanaume hata ashtuki?
   
 17. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  b.w.e.g.e++
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ndo na mi nashangaa!
   
 19. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mWOGOPE Mungu ww!....
   
 20. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  :eek2: Eh ndugu umewaacha tu halafu... :wacko: . Mimi siwaamini ila naendelea nao tu sababu option B sio kabisa!!
   
Loading...