Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,000
- 16,199
- Thread starter
- #21
Nikuulize swali...
Mbali na mahusiano wew unafikir unajukumu gani hapa Dunian ambalo unatambua kua ni wajbu wako kulifanya???
Au upande wa iman unahis ni jambo gan Mungu anahitaji ufanye au wew mwenyewe unahis una wajibu gani wa kufanya kulingana na moyo wako unavo kutuma na
ni kama baraka kwako ukifanya mema hayo????
Ni swali moja.
Sent using Jamii Forums mobile app

As long as anayeniumiza nampenda sana haina shida japo siombi yanitokee.
Sent using Jamii Forums mobile app