Never suffer to make someone to be in love with you

Never suffer to make someone to be in love with you

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,000
Reaction score
16,198
Wapendwa usije ukajarbu kuangaika kumfanya mtu akupende ili ufunge nae NDOA hata siku moja.

Hasa ukimpenda mwanamke kwa dhati, usije ukajarbu kujisumbua kumfanya awe wako, akupende wew kwa matendo yako.
Fanya tu kumwambia kuwa unampenda,
Ata kama ukidate nae, siku ukihis au ukipata evidence kuwa anakudanganya, Rizika tu jua hato kuja akae akupende hata ufanye nn.

Note:
Love someone who love u.
A part from love "People don't change"

Kama mpenz wako alikucheat mala ya kwanza basi anaweza kufanya hivo mala ya pili.

Angalia hii series utaamin ninacho kisema.

You (2018).
Session 1 complete with 10 episodes.
images-31.jpeg
IMG_20190361_073602.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ukiyaelewa hayakuumizi kichwa hata kidogo,.

Mpende akupendae asiyekupenda mfungulie "exit door" easy..sasa wewe jikute konki masta kuwa king'ang'a[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo wanaofata hisia zao tu, wanalazimisha kupendwa hatar.

Alafu unakuta aliwahi kupendwa na mtu mwingine lakin hamtaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapoa wanaofata hisia zao tu, wanalazimisha kupendwa hatar.

Alafu unakuta aliwahi kupendwa na mtu mwingine lakin hamtaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iove is very complicated, ... Mahusiano yamekua magumu ...sababu ya selfishness... Kila MTU anataka kuingia kwenye mahusiano kwa kuangalia preference s zake,... But I believe ...tukiweza kujifunza kupenda tulipopendwa ..pengine rate ya kuumizana kwenye r/ship itapungua.....

From profile picture to proper future
 
Do you know how powerful love is?
Ukimpenda mtu hata ukimfumania live utajifariji kwamba zile ni photoshop just for the sake of love.
Am very strong capable of wining any battle the battle of love excepted.
Khan, utakuja kuumizwa hadi ushindwe kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do you know how powerful love is?
Ukimpenda mtu hata ukimfumania live utajifariji kwamba zile ni photoshop just for the sake of love.
Am very strong capable of wining any battle the battle of love excepted.
[emoji23][emoji23] haiwezi kuwa love hiyo na Sir God aniepushie ujinga wa kupenda hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa usije ukajarbu kuangaika kumfanya mtu akupende ili ufunge nae NDOA hata siku moja.

Hasa ukimpenda mwanamke kwa dhati, usije ukajarbu kujisumbua kumfanya awe wako, akupende wew kwa matendo yako.
Fanya tu kumwambia kuwa unampenda,
Ata kama ukidate nae, siku ukihis au ukipata evidence kuwa anakudanganya, Rizika tu jua hato kuja akae akupende hata ufanye nn.

Note:
Love someone who love u.
A part from love "People don't change"

Kama mpenz wako alikucheat mala ya kwanza basi anaweza kufanya hivo mala ya pili.

Angalia hii series utaamin ninacho kisema.

You (2018).
Session 1 complete with 10 episodes.View attachment 1037208View attachment 1037209

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante kwa uzi mzuri, Kesho nitaleta uzi kumhusu jamaa yangu.

Haya mapenzi yasikie tu...
 
Hiyo kitu kwangu hakuna,

Nashukuru Mungu alivo niumba.
Nikifanya mapenz tu mwanamke hata mala 2 au 3 huwa narizika kabisa,

Kuanzia hapo chakunifanya niendelee kumpenda na kuwa na hisia nae ni tabia tu.

Niko hivo yan, siwez kuangaika na mtu ambae najua wazi moyo wake haupo kwangu, tena huwa nakua na hasira sana nikijua hvo.
Hongera sana ila kama unampenda (achilia mbali mambo ya series) lazima uta-suffer tu, no way

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom