truddy Senior Member Joined Nov 7, 2010 Posts 146 Reaction score 100 Feb 10, 2016 #21 mutu ya watu said: mi naijiuliza hivi kwanin ukijisemea mabaya ndio yanayotimia lakin mazuri kutimia ni ngumu, cijui ni mimi tu au na wengine? Click to expand... I guess mabaya tunaya notice haraka zaidi sababu ya negative minds muda wote.
mutu ya watu said: mi naijiuliza hivi kwanin ukijisemea mabaya ndio yanayotimia lakin mazuri kutimia ni ngumu, cijui ni mimi tu au na wengine? Click to expand... I guess mabaya tunaya notice haraka zaidi sababu ya negative minds muda wote.
Senee JF-Expert Member Joined Nov 16, 2015 Posts 954 Reaction score 1,054 Feb 10, 2016 #23 Wengine we are sturbon so when we say never it is never
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Feb 11, 2016 Thread starter #24 habari ya hapa said: Hapana me nitakata mtarimbo wake kwanza, mengine baadae Click to expand... mamaaaà unakata soseji? kisha unaifanyia nini?
habari ya hapa said: Hapana me nitakata mtarimbo wake kwanza, mengine baadae Click to expand... mamaaaà unakata soseji? kisha unaifanyia nini?
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,202 Reaction score 14,122 Feb 13, 2016 #25 Ni vigumu sana kutosema. Roho ikiumizwa chochote waweza sema. Kuna viumbe wana dhambi sana wepesi kuumiza roho za wenzao. Ni Mungu tu anaepusha lakini kusamehe ni vigumu sana.
Ni vigumu sana kutosema. Roho ikiumizwa chochote waweza sema. Kuna viumbe wana dhambi sana wepesi kuumiza roho za wenzao. Ni Mungu tu anaepusha lakini kusamehe ni vigumu sana.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Feb 13, 2016 #26 Never say never
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,660 Feb 13, 2016 #27 rubii said: Si rahisi hivyo... kuna wakati unaweza waza umkatekate mtu na panga roho iridhike Click to expand... Hajazuia kuwaza. Amezuia KUSEMA.
rubii said: Si rahisi hivyo... kuna wakati unaweza waza umkatekate mtu na panga roho iridhike Click to expand... Hajazuia kuwaza. Amezuia KUSEMA.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,660 Feb 13, 2016 #28 Dereva wa Kirikuu said: Mkuu.. Hizi kauli 99% ni za jisia ya kike.. Na hazitekelezekii.. Click to expand... Ila hata 1% ya population ni kubwa pia.
Dereva wa Kirikuu said: Mkuu.. Hizi kauli 99% ni za jisia ya kike.. Na hazitekelezekii.. Click to expand... Ila hata 1% ya population ni kubwa pia.
Kakole JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,094 Reaction score 1,751 Feb 13, 2016 #29 Uliyosema yote ni sahihi 100% ila kwa uwezo wa kibinaadam hazitekelezeki.