Never mess with the Russians


Unaniita brother wako kwa misingi ipi?
Halafu siyo lazima u-quote post yangu.
Kama unaona hoja zangu ni za kitoto, fallacious, na upuuzi wewe uchune tu.
Wenye kunielewa washaelewa, kulalamika hakutakusaidia mtoto wa kiume wewe kaza msuli.
 
Unbelievable❗ Russian Sukhoi 30 Jet Fighter in action. Looks like Dolphins dancing. It can hover and dance


Ukitaja top 3 aircraft designer kwa sasa huwezi kuwaacha hawa Sukhoi company.
Pia Sukhoi sio wachoyo wa teknolojia sababu nimeona project nyingi wanashirikiana na Hindustan Aeronautics Limited(HAL) na hii hupelekea kutoa products bora na za uhakika.
Kwakweli wahindi watafaidika sana kwa teknolijia ya uundaji wa ndege kutoka Sukhoi hali inayoeza kuifanya India kuwa aircraft designer mzuri siku chache zijazo.
Sitashangaa Uncle Sam akijaribu kukopi hiyo Sukhoi 30 Multirole superiority jet fighter kama kawaida yake.
Maana waswahili wanamsemo kama unashindwa kubuni na kutengeneza cha kwako hata kuiga nako ushindwe lahaulaa!
 
Vietnam war
 
Unataka nani afanye kipi ili nchi yako ifike huko? , kazi lawama tu, wewe unashinda kutwa unachati wenzio wanaumiza vichwa kuwekeza kwenye maarifa wewe unawekeza kwenye lawama. Ujuzi huanza na mtu mmoja mmoja (ikiwemo wewe)
Watanzania bana sasa jamaa kalaumu nn hapo au umekurupuka tu?
He/she is thinking out loud wala hajamlaumu MTU,acha kukurupuka
 
wkt inafanya hzo mbwembwe f22 ishaifyatulia sidewinder missile zaman
U call them mbwembwe sababu hujui maana zake if u cud u cud zip yo fu.ckin mouth and wondering marekani atafikia lini hyo technology
 
Kabla ya kucomment u cud just take a minute and think
Those manouver are for dodging missiles wenzio wameadvance we unawaza kimaskini hvyo what ashamed dude
 
Hehehehe pipo talk n talk but ts a shame they don't even knw wht they are talking about
So he thought he cud outclass you with his pathetic evidence ??what ashame
 
Thanks for this, ilikua ni burudani kama vile naangalia soka match. Huyu jamaa anaonekana ni mwendawazimu katika kucheza hizi kitu, maana ukimkadilia unaona muda wote alikua anahakikisha hatoki ndani ya circle au umbali fulani.
Russians are the beasts ,over
 
Watanzania bana sasa jamaa kalaumu nn hapo au umekurupuka tu?
He/she is thinking out loud wala hajamlaumu MTU,acha kukurupuka
Are you applying inductive reasoning to assess all Tanzanians that are of the same characteristics as how I am!!!?
 
Indeed mkuu,pipo don't think wanacomment tu kimapenz
 
Are you applying inductive reasoning to assess all Tanzanians that are of the same characteristics as how I am!!!?
No offence mkuu but u represent pathetic character of many(if not most) tanzanias
Shame n owful kwakweli
 
Inaonekana unatumia nguvu badala ya akili. Kwanza nataka nikwambie hakuna vita ndogo wala kubwa. Vita ni vita.

Pia kama USA alishinda vita ya Gulf, mwaka 2003 arudi tena kufanya nn?

Hahahaha mtu asie na evidence anamponda mwenzake hana akili
Leta point kijana achana na ushabiki wa kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…