Never judge anything by the 1st glance....

Hahahahaaaa Boflo bana!

Jazzy hajambo lakini?

Anataka namba yako ya simu aongee nawe.....nimekutengenezea mazingira......

Umeona nguruwe baba mama na mtoto wao!
 
Boflo we ni mkare kama handsome wa Bagamoyo. Picha zako zina jieleza kwa zaidi ya maneno trilioni
 
Last edited by a moderator:
Boflo we ni mkare kama handsome wa Bagamoyo. Picha zako zina jieleza kwa zaidi ya maneno trilioni

hahaha Bujibujiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Du kweli maana ukiangalia kwa haraka haraka unaweza ukajua ni dushelele na 0713
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!​
 
Boflo umechukua namba moja umemtoa Mbuzi Mzee kashuka namba mbili ya top10 zangu
 
Last edited by a moderator:
Anataka namba yako ya simu aongee nawe.....nimekutengenezea mazingira......

Umeona nguruwe baba mama na mtoto wao!

baada ya kusoma hapo nimerudia tena kuangalia maana sikuelewa.......nilidhani........
 
Jamani jamani jamani. HUWA UNAWAZAGA NINI?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…