Never give up always

Never give up always

Harhombo

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
216
Reaction score
57
Habari zenu wanajamiiforum.
Awali ya yote namshukuru Muumba wa bingu na nchi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,nimetafuta ajira na kufanya usahili Mara nyingi nikianzia TANAPA,NHIF,TRA,POSTAL CORPORATION, UDOM na nyingine nyingi bila mafanikio nikahisi huenda Mimi ni kilaza ila sikukata tamaa japo nilipata kibarua kwenye taasisi binafsi kwa mshahara wa laki nne kama Gross. Nikaona ni vema kuhamia kuomba kazi UTUMISHI na nilifanya usahili pale,Mara ya kwanza sikufanikiwa ila Mara ya pili UTUMISHI wameniita kazini.

Kwa ambao hamjafanikiwa usidhubutu kukata tamaa maana Mungu atafanya kwa wakati Wake.

!TIME OF GOD IS THE BEST!
 
Hongera sana ndugu, hebu tupia basi hayo majina hii web ya utumishi imezidiwa nguvu watu wengi wemeifungua
 
Hongera sana. Sitokata tamaa pia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Maneno yako yameniinua maana nilishafanya interview mbili za Utumishi but i was unluck, hope time itafika tu, congrats anyway..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom