Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
Nikiwa kidato cha tatu nilijifunza kuwa "Neutralization occurs when an acid reacts with base to form salt and water only" maana yake acids na bases zinatengeza kitu ambacho kiuhalisia kinakuwa "Neutral" - water.
Kuna wakati hata ndani ya vyama vya siasa na hata serikali huamua kufanya kitu cha aina hii. Na pengine mbinu hii husaidia sana kubadili uelekeo katika jambo fulani ambalo kimsingi huwa masikioni/mioyoni mwa watu. Pengine mbinu hii inaweza pia kutumika kuwaaminisha observers kuwa kinachosemwa hakikuwa sahihi maana tayari kilichotokea sio acid au base tena bali "Neutral solution - water"