Network ya tigo iko down

Hawa jamaa wana matatizo ya kiufundi halafu hawasemi, binafsi jana baada ya kugundua tatizo nikaswitch simu yangu kwenda 3G walau hapo network ilikua stable...tatizo linakuja sio watu wote wenye simu zinazosupport 3G

unawezaje kuswitch kwenda 3G minina N70 Nokia nafanyaje?
Thanx
 
Kama kawa leo tena, tumesimamisha huduma zetu kwa muda usiojulikana.wafanya kazi wote wapo ktk uzinduzi wa magari ya kwenda mbio. Siku njema
 
unawezaje kuswitch kwenda 3G minina N70 Nokia nafanyaje?
Thanx

mkuu mi natumia BB Bold sometimes natumia Samsung Ace ambazo zina both 2G na 3G radio...Hiyo nokia N70 sijawahi kutumia ingawa ni DUAL BAND(2G and 3G), so i guess itakuwa na jinsi ya kuswitch over
 
unawezaje kuswitch kwenda 3G minina N70 Nokia nafanyaje?
Thanx
Baada ya kugoogle nimepata maelezo haya hapa sijui kam ayatakuwa masaada kwako;

Nokia N70, N73, E65
- Press the "Menu" key
- Scroll to "Tools", press Options
- Scroll to "Open", press Select
- Scroll to "Settings", press Options
- Scroll to "Open", press Select
- Scroll to "Network", press Options
- Scroll to "Open", press Select
- Scroll to "Network mode", press Options
- Scroll to "Change", press Select
- Scroll to "Dual Mode", press OK

Dual Mode maana yake ni kwamba simu itakuwa na uwezo binafsi wa kuchagua kati ya GSM (2G) au WCDMA/UMTS(3G)...So do your homework mkuu uone matokeo yatakuwaje and for that case hata brwsing itakuwa speed as simu itakuwa suitable kwenda 3G once kukiwa na network
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom