Network mbovu ya LUKU yawalaza watu kwenye giza

mbeyaman

Member
Sep 28, 2013
97
28
Jana wateja wengi wa Luku walilazimika kulala gizani baada ya kushindwa kununua umeme kupitia wakala na mitandao ya simu na benki.Hali hii imesababishwa na kusuasua kwa network ya luku.

Wateja wengi wa luku wameathirika na hali hii.Tanesco hawajatoa tamko lolote mpk sasa.
 
Afadhali turudi kwenye wakati wa mita za kawaida za umeme.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom