Kiaje mkuuKina Mo na Bakresa wana pesa ndefu halafu kwenye Companies zao hakuna innovation zozote za maana
Hao walicho bakiza ni kuigana hadi mmoja aanzishe na mwingine aige.Kina Mo na Bakresa wana pesa ndefu halafu kwenye Companies zao hakuna innovation zozote za maana
Innovation gani? Ama kwako innovation ni nini? Wote hao wana innovations za kutosha ndio maana wapo relevant sokoni.Kina Mo na Bakresa wana pesa ndefu halafu kwenye Companies zao hakuna innovation zozote za maana
Basi inawezekana una tafsiri yako ya innovationInnovation gani? Ama kwako innovation ni nini? Wote hao wana innovations za kutosha ndio maana wapo relevant sokoni.
Entrepreneurs wetu huku kina Mo, hawana visionHao walicho bakiza ni kuigana hadi mmoja aanzishe na mwingine aige.
Nahisi ni uwoga wa kuanzisha kipya.
Kitaalam tunawaita Adoptive entrepreneurs
Nyie jamaa hampo serious aisee? Kwamba Bilionea hana vision? Unafikiri unakuwa tu bilionea kwa kuuza na kununua? Unaweza ukapewa Bilioni 1 na ukashindwa kuikuza, hakuna Bilionea asie na vision.Entrepreneurs wetu huku kina Mo, hawana vision
Na hawapo willing ku take risk ya fedha kuangalia namna gani wanaweza kuja na innovation ya kwao ambayo kimsingi inaweza kutengeneza entirely new Market
FAANG companies zimeweza kutengeneza Market za kwao kwa ku embrace innovation
Huku kuna Mo energy, Azam energy na Jembe energy
Kimsingi pachika "Mo" kwenye bidhaa yoyote ya kawaida na hapo utapata aina za innovation wanazoweza
The reason wapo kwenye market na moja tu...
Ndio pekee wenye pesa, na kwa sababu huku hakuna investors wenye uthubutu wa ku fund new ideas
ili uangalie kwa Av1 codecs inabidi uwe na hardware husika na kwa sasa ni vifaa vichache sana vinavyo, hivyo kama tv ama kifaa chako haki support utaangalia tu kwa codecs za zamani kama VP8/VP9 ama x264hii inakuaje hii?ni kwa tv zote iko updated au baadhi ya version tu za tv?
Kweli wajasiriamali wetu wanaogopa kutake risk kwa kuanzisha kitu kipya.Entrepreneurs wetu huku kina Mo, hawana vision
Na hawapo willing ku take risk ya fedha kuangalia namna gani wanaweza kuja na innovation ya kwao ambayo kimsingi inaweza kutengeneza entirely new Market
FAANG companies zimeweza kutengeneza Market za kwao kwa ku embrace innovation
Huku kuna Mo energy, Azam energy na Jembe energy
Kimsingi pachika "Mo" kwenye bidhaa yoyote ya kawaida na hapo utapata aina za innovation wanazoweza
The reason wapo kwenye market na moja tu...
Ndio pekee wenye pesa, na kwa sababu huku hakuna investors wenye uthubutu wa ku fund new ideas
So far innovation yako Ni ipi mpk Sasa kwny Kampuni zako.Entrepreneurs wetu huku kina Mo, hawana vision
Na hawapo willing ku take risk ya fedha kuangalia namna gani wanaweza kuja na innovation ya kwao ambayo kimsingi inaweza kutengeneza entirely new Market
FAANG companies zimeweza kutengeneza Market za kwao kwa ku embrace innovation
Huku kuna Mo energy, Azam energy na Jembe energy
Kimsingi pachika "Mo" kwenye bidhaa yoyote ya kawaida na hapo utapata aina za innovation wanazoweza
The reason wapo kwenye market na moja tu...
Ndio pekee wenye pesa, na kwa sababu huku hakuna investors wenye uthubutu wa ku fund new ideas
Baadhi mfanohii inakuaje hii?ni kwa tv zote iko updated au baadhi ya version tu za tv?
Kama hizo points ulizo list hapo kwako ni "innovation".....basi inawezekana hujui maana ya innovationNyie jamaa hampo serious aisee? Kwamba Bilionea hana vision? Unafikiri unakuwa tu bilionea kwa kuuza na kununua? Unaweza ukapewa Bilioni 1 na ukashindwa kuikuza, hakuna Bilionea asie na vision.
Hizi ni innovations chache Za hawa jamaa.
1.chupa za plastic, kwa wale waliozaliwa zamani soda zilikuwa ni Coke ama pepsi tena za Chupa, Bakhresa ndio wa kwanza Kuleta chupa za plastiki kwa wingi na kuforce hayo makampuni makubwa ku adapt.
2. Flavour tofauti, Vitu kama Apple punch (zamani apolina), Fursana, ukwaju etc ni flavour za ki local zaidi na ni ngumu kuzikuta International brand.
3. Studio za Azam pengine ukitoa dstv hakuna kituo cha TV kinachowafikia huku Africa, hawa pekee wana mambo kibao, kuweka ligi zote East Africa kwenye tv, kuleta Chanel za HD Tanzania, camera za Kisasa, app za simu na mambo kibao.
4. Azam pay inayofanya kazi kama Paypal kuhamisha fedha kimataifa.
5. Huyo Mo pamba ananunua Malaki ya Tani na zote zinatengenezewa Bidhaa humu humu Tanzania, Kuanzia Mashuka ya Kimasai, kanga na Vitenge, Mashuka ya kulalia, ya Shule etc tena anazo hadi za Cotton ambazo Tanzania Viwanda ni vya kuhesabu.
6. Siku zote Mo yeye ni mtu wa makombo, kitu ambacho watu wanakiacha kama Katani yeye anabeba na anafanikiwa unafikiri hii ni sifa ya mtu asie na Vision na Innovations?
Shukurani mkuu kwa nyongeza hiyo iliyo shibaNyie jamaa hampo serious aisee? Kwamba Bilionea hana vision? Unafikiri unakuwa tu bilionea kwa kuuza na kununua? Unaweza ukapewa Bilioni 1 na ukashindwa kuikuza, hakuna Bilionea asie na vision.
Hizi ni innovations chache Za hawa jamaa.
1.chupa za plastic, kwa wale waliozaliwa zamani soda zilikuwa ni Coke ama pepsi tena za Chupa, Bakhresa ndio wa kwanza Kuleta chupa za plastiki kwa wingi na kuforce hayo makampuni makubwa ku adapt.
2. Flavour tofauti, Vitu kama Apple punch (zamani apolina), Fursana, ukwaju etc ni flavour za ki local zaidi na ni ngumu kuzikuta International brand.
3. Studio za Azam pengine ukitoa dstv hakuna kituo cha TV kinachowafikia huku Africa, hawa pekee wana mambo kibao, kuweka ligi zote East Africa kwenye tv, kuleta Chanel za HD Tanzania, camera za Kisasa, app za simu na mambo kibao.
4. Azam pay inayofanya kazi kama Paypal kuhamisha fedha kimataifa.
5. Huyo Mo pamba ananunua Malaki ya Tani na zote zinatengenezewa Bidhaa humu humu Tanzania, Kuanzia Mashuka ya Kimasai, kanga na Vitenge, Mashuka ya kulalia, ya Shule etc tena anazo hadi za Cotton ambazo Tanzania Viwanda ni vya kuhesabu.
6. Siku zote Mo yeye ni mtu wa makombo, kitu ambacho watu wanakiacha kama Katani yeye anabeba na anafanikiwa unafikiri hii ni sifa ya mtu asie na Vision na Innovations?
Kwanza tofautisha invention (ugunduzi) na innovation, ukiwa na idea yoyote ile ambayo inaweza kupata wateja ambao zamani ulikuwa huwapati hio ni innovation.Kama hizo points ulizo list hapo kwako ni "innovation".....basi inawezekana hujui maana ya innovation
Hivyo vyote ulivyotaja hapo, vilikuepo years kabla hawaja vi incorporate kama parts ya bidhaa zao
Kuchukua idea au bidhaa inayofanya vizuri nchi fulani na kui import kwako sio innovation
Nini maana ya innovation kwako?
Ma billionaires wetu still hawana vision, thus why miaka na miaka itapita lakini net worth ya Mo ipo almost vile vile...
Hawapo willing ku take risk, hawa innovate
Unataka Mo akutengenezee tv au speaker?Entrepreneurs wetu huku kina Mo, hawana vision