The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 837
Hamas si walianzisha vita October 7 wenyewe ulitegemea Netanyahuu angefanyajeHuyu jamaa anatakiwa kuchunguzwa. Inawezekana anatokana na kizazi cha Ibilisi. Maana yeye furaha na starehe yake kubwa ni kuona tu binadamu wanakufa, au kuteseka.
Kabla ya kumuhukumu hvo, unajua mapendezo yao yalikuaje? Is like umefanya judgemental wakati hata wahusika hujawasikilizaHuyu jamaa anatakiwa kuchunguzwa. Inawezekana anatokana na kizazi cha Ibilisi. Maana yeye furaha na starehe yake kubwa ni kuona tu binadamu wanakufa, au kuteseka.
Kabla ya hiyo Oktoba 7, unafahamu jela za Israel kitambo tu zimejaa Wapalestina wa kila aina! Kuanzia wanawake, watoto, wazee, vijana, nk. Achilia mbali wale waliouwawa, kuteswa, nk na hao Waizrael!Hamas si walianzisha vita October 7 wenyewe ulitegemea Netanyahuu angefanyaje
Magaidi waanzishe vita Oct 7 halafu unamlaumu kamanda Netanyahu kwa kuipigania nchi yake?!Huyu jamaa anatakiwa kuchunguzwa. Inawezekana anatokana na kizazi cha Ibilisi. Maana yeye furaha na starehe yake kubwa ni kuona tu binadamu wanakufa, au kuteseka.
Unajadiliana na mfia dini tutusa huyo mkuu.Kabla ya hiyo Oktoba 7, unafahamu jela za Israel kitambo tu zimejaa Wapalestina wa kila aina! Kuanzia wanawake, watoto, wazee, vijana, nk. Achilia mbali wale waliouwawa, kuteswa, nk na hao Waizrael!
Binafsi ninachofahamu hao Hamas ni zao la manyanyaso yaliyopitiliza kwa Wapelestina miaka nenda. Kusingekuwepo na uonevu, mateso, mauaji yasiyokwisha, nk. inawezekana kabisa hao Hamas wangekosa watu wa kuwaunga mkono kwenye hizo harakati zao.
Netanyau mbona hakung'ang'ania kuendelea na vita kati yake na Irani kama anavyong'ang'ang'a kuendea vita Hamasi?Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Kundi la Wanamgambo wa Kipalestina la Hamas linatafuta mabadiliko "yasiyokubalika" kwa pendekezo jipya la kusitisha mapigano huko Gaza Ukanda.
Netanyahu amenukuliwa na Shirika la Habari la DPA, akisema mabadiliko ambayo Hamas inataka kuyafanya katika pendekezo la Qatar yaliofikishwa kwao usiku wa jana hayakubaliki kwa Israeli. Maafisa wa Hamas waliiambia DPA kuwa bado kuna haja ufafanuzi kuhusu kuendelea kwa usitishaji mapigano baada ya kipindi cha awali cha siku 60, kuondolewa kwa wanajeshi wa Israel Gaza na upatikanaji wa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo pasina vikwazo.
Mazungumzo hayo yanayoratibiwa na Qatar, Misri na Marekani yanalenga kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano kwa siku 60 huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka ambao bado wanashikiliwa na Hamas, na baadhi ya wafungwa wa Kipalestina wanaoshikiliwa na Israel.
Anajua gaza ndio mnyonge wakeNetanyau mbona hakung'ang'ania kuendelea na vita kati yake na Irani kama anavyong'ang'ang'a kuendea vita Hamasi?
Malengo ya operation ya Iran yalifanikiwaNetanyau mbona hakung'ang'ania kuendelea na vita kati yake na Irani kama anavyong'ang'ang'a kuendea vita Hamasi?
Iran alifikia lengo lakeKwa Iran alilalamika kua wamerusha mabomu kipindi Cha cease fire imeanza 🤣🤣🤣
Hapa kwa gaza hatk cease fire
Hamas sio mnyonge , asingeshambuliwa Oct 7Anajua gaza ndio mnyonge wake
Hata jela zetu zimejaa lakinKabla ya hiyo Oktoba 7, unafahamu jela za Israel kitambo tu zimejaa Wapalestina wa kila aina! Kuanzia wanawake, watoto, wazee, vijana, nk. Achilia mbali wale waliouwawa, kuteswa, nk na hao Waizrael!
Binafsi ninachofahamu hao Hamas ni zao la manyanyaso yaliyopitiliza kwa Wapelestina miaka nenda. Kusingekuwepo na uonevu, mateso, mauaji yasiyokwisha, nk. inawezekana kabisa hao Hamas wangekosa watu wa kuwaunga mkono kwenye hizo harakati zao.
Kwani mwenye kuleta mapendekezo ninani si uyo uyo Baba wa Israel sasa mlete pendekezo vita isimame kisha analeta na masharti tena niMagaidi waanzishe vita Oct 7 halafu unamlaumu kamanda Netanyahu kwa kuipigania nchi yake?!
kwasababu hujui kitu ndo maana unadhani walichofanya HAMAS oct 7 ndo walianzisha,kwamba kabla ya oct 7 israeli na palestina hakuna chochote kilichokuwa kinaendelea...kilichofanywa oct 7 ni kulipa kisasi cha unyama ambao israeli walikuwa wanawafanyia wapalestina kila siku iendayo kwa MUNGUHamas si walianzisha vita October 7 wenyewe ulitegemea Netanyahuu angefanyaje