Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Hahahahahah kwann?Sasa huyu kichaa mpya ndio balaa bora ya Benjamin
Hahahahahah kwann?Sasa huyu kichaa mpya ndio balaa bora ya Benjamin
Mfuatilie misimamo yake ndio utajua ni kichaa dhidi ya waarabuHahahahahah kwann?
Kwahiyo anaweza kuwachachafya muda wowote wakileta utata??Mfuatilie misimamo yake ndio utajua ni kichaa dhidi ya waarabu
Huyu mwamba atawanyoosha aiseeKwahiyo anaweza kuwachachafya muda wowote wakileta utata??
Wewe hujui kituHa ha ha ha vipi kuhusu ndoto yake ya kuvishambulia vinu vya nuke vya iran huyu ndio kiongozi aliyeitia aibu ndani ya utawala wake wapiganaji wa hamas wamefanikiwa kuiteka gaza sasa mdaa huu anarudi uraiani pia hii game inachezeshwa na iran kwanza mchezo ulianzia kwa trump now umemalizikia kwa netanyau msicho kijua ni majasusi wa iran wapo kazin
... Israel kwanza mengine baadaye!Uzuri wao, mtu ana badirika lakini sera zao za mashariki ya kati ziko vile vile tu!!
So what was the motive for the Jews to attacks their own building?
NopeDon't you know what happened after the attack??---
Rabin was best PM,sema ma zionist walimlamba shabaSio mara zote, unamkumbuka Yitzhak Rabbin?
Hardline Religious ntionalist,afadhali netanyahu...Namuonea huruma sana Joe Biden sijui ata deal vipi na huyu mtu.Bado tabu kwa Waarabu iko pale pale. Bennet ni Ultra-zionist kama ilivyo kwa Netanyahu.
He doesn't know anything,wachana nae.Mkuu Naftali ni tatizo kuliko huyo Benny
Agenda ya wayahudi ni ile ile, hata aje nani, waarabu watapigwa tuuKwisha habari yakendoto yake ya kuishambulia Iran imekufa kifo cha mende ameondoka akiiacha iran km alivyoikuta.
Hardline Religious ntionalist,afadhali netanyahu...Namuonea huruma sana Joe Biden sijui ata deal vipi na huyu mtu.
Tembo hachoshwi na pembe zakeHardline Religious ntionalist,afadhali netanyahu...Namuonea huruma sana Joe Biden sijui ata deal vipi na huyu mtu.
Hata kabla ya hii miaka 12 mfululizo, miaka ya nyuma alishawai kuwa waziri mkuu wa Israel.Miaka 12.
Mbona alivishambulia,au hukusikia vinu vikilipuka huko chini ya ardhi? Ulitaka mpaka uone ndege vita,wenzako wanafanya kwa technolojiaHa ha ha ha vipi kuhusu ndoto yake ya kuvishambulia vinu vya nuke vya iran huyu ndio kiongozi aliyeitia aibu ndani ya utawala wake wapiganaji wa hamas wamefanikiwa kuiteka gaza sasa mdaa huu anarudi uraiani pia hii game inachezeshwa na iran kwanza mchezo ulianzia kwa trump now umemalizikia kwa netanyau msicho kijua ni majasusi wa iran wapo kazin