ni kweli kabisa kwasababu huyo bennet alipata kuwa hata waziri wa linzi wa netanyahu kama sijakosea. ila nakumbuka katika mapigano yaliyopita nliwa kusema humu ndani hizo njia zake za kutumia mgogoro wa isarael na hamasi zimesha kwisha na nafkir i was correctly in my speculationUzuri wao, mtu ana badirika lakini sera zao za mashariki ya kati ziko vile vile tu!!
