Net za machuma tsh 60,000 tuu

Net za machuma tsh 60,000 tuu

nomuyo jr

Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
21
Reaction score
11
Ni imara na inapendezesha nyumba
Wateja wa dar kuletewa buree
Kufunga pia ni buree
Wamikoani tunatuma pia
Zipo rangi za aina mbalimbali

Malipo mpaka upate mzigo wako
Ni tsh 60,000 tuu

Mawasiliano; [HASHTAG]#0715523866[/HASHTAG] watsap and call karibu

FB_IMG_1493522108899.jpg
FB_IMG_1493522115330.jpg
PhotoGrid_1482383349236.png
PhotoGrid_1482383377322.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unauza neti pamoja na chuma lake ama
 
Sitokaa nirudie kosa... Mavimeo sijawahi kuona.

Hayako imara kabisa yani...
Sijawahi kuzifurahia hizi chandarua....yani ukiwasha feni tu mbu wote wanahamia ndani ya neti na vyuma vyake ni vya hovyo sana havikawii kuchomokachomoka.

Kwa ushauri kama unataka net ya aina hiyo ni bora ukatengeneze vyuma kwa mafundi wanaotengeneza vitanda vya chuma halafu ununue neti za kawaida uning'inize kuliko ununue zizi la mbu.
 
Mmmmmmmh,
Basi , wenye air conditioners tu.
 
Sijawahi kuzifurahia hizi chandarua....yani ukiwasha feni tu mbu wote wanahamia ndani ya neti na vyuma vyake ni vya hovyo sana havikawii kuchomokachomoka.

Kwa ushauri kama unataka net ya aina hiyo ni bora ukatengeneze vyuma kwa mafundi wanaotengeneza vitanda vya chuma halafu ununue neti za kawaida uning'inize kuliko ununue zizi la mbu.
Nadhani mbu wanazipenda sana hizi neti...

Nilijuta kuzinunua...
 
Sijawahi kuzifurahia hizi chandarua....yani ukiwasha feni tu mbu wote wanahamia ndani ya neti na vyuma vyake ni vya hovyo sana havikawii kuchomokachomoka.

Kwa ushauri kama unataka net ya aina hiyo ni bora ukatengeneze vyuma kwa mafundi wanaotengeneza vitanda vya chuma halafu ununue neti za kawaida uning'inize kuliko ununue zizi la mbu.

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] zizi la mbuu
 
vyuma vyake ndo tatizo ni laini sana, kuna sehemu niliona vyuma strong halafu walivyovitengeneza siyo vingi namna hiyo ningeweza kuchora ningefanya hivyo ila nitaenda kwa fundi nimuelekeze
 
Sitokaa nirudie kosa... Mavimeo sijawahi kuona.

Hayako imara kabisa yani...

Kweli kabisa.. Hizi neti za hovyo sana.. Hizo si vyuma ni aluminium lainiiiii kama pipe za plastic za maji za nchi moja in diameter, zinavunjika sana..
 
Ni imara na inapendezesha nyumba
Wateja wa dar kuletewa buree
Kufunga pia ni buree
Wamikoani tunatuma pia
Zipo rangi za aina mbalimbali

Malipo mpaka upate mzigo wako
Ni tsh 60,000 tuu

Mawasiliano; [HASHTAG]#0715523866[/HASHTAG] watsap and call karibu

View attachment 571495View attachment 571496View attachment 571497View attachment 571499

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshtuka uliposema net za machuma, hivi wajua net ni hicho kitambaa?? Sema net yenye stand za chuma!
 
Back
Top Bottom