Natanguliza hongera zangu kwa wale ambao watakuja kufanikiwa kulipwa tzs 960,000 pale tra,wakipita aptitude test na interview. Good be with you all
Kwa waliosota mtaani inatosha kwa kuanzia lakini kwa wale wakongwe na walianza nanet za hivyo miaka ya 90, hawatakaa hapo...Natanguliza hongera zangu kwa wale ambao watakuja kufanikiwa kulipwa tzs 960,000 pale tra,wakipita aptitude test na interview. Good be with you all
kwa siku ni 32,000/-Natanguliza hongera zangu kwa wale ambao watakuja kufanikiwa kulipwa tzs 960,000 pale tra,wakipita aptitude test na interview. Good be with you all
Kipato cha mpiga debe hichokwa siku ni 32,000/-
hili ni la ukweli kabisa, mimi hata wakinipa kazi ya kufagia ofisi zao najua nitamaliza mapema, then nianze kula dili la kusogeza sogeza documents - au hata kuwa -introduce watu wenye shida za mizigo kwa maboss najua nikirudi jioni sikosi ka 50,000/=Kwa TRA hata wakiniambia ifanye kazi bure mimi nitaenda tu,kule watu wanajilipa mara 20 ya huo mshahara
ukitaka kukorofishana na mtanzania, mwaambie ajiajiri kwenye kilimo.Kwa mwaka ni 11,520,000/= ukijiajiri kwa kulima vitunguu eka 4 na mahindi eka 5 unaingiza zaidi ya 16m kwa mwaka
Natanguliza hongera zangu kwa wale ambao watakuja kufanikiwa kulipwa tzs 960,000 pale tra,wakipita aptitude test na interview. Good be with you all
ukitaka kukorofishana na mtanzania, mwaambie ajiajiri kwenye kilimo.