Huyu bwana anafaa asulubiwe kwani hakuwa fisadi tuu bali anahusika na kuua kabisa heshima na nguvu za vyama vya wafanyakazi nchini!! Huyu ni sampuli ya watu wanaotaka uongozi lli kujaza matumbo yao ingawa wanajua aslani kuwa uwezo wa kuongoza hawana. Tanzania yetu ndio hiyo hata vilaza wanapata uongozi; Guninita si huyo mnamuona CCM yuko kidatu cha kwanza sasa na ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa DSM!!