NEST kuanza kutumika, TANePS kutotumika tena

Vizuri uchaguzi tenda umekaeje hapa au mfumo.wa tehama wenyewe ? Kama wapitishaji wa Hawa mafsa wanunuzi wachugulia Bei walipanga kununua bidhaa wanampa mtu wanaemtaka kwa maslahi binafsa au kampun zao bado no Yale Yale umeelezea vizuri Ila hujafafanua huu mfumo huu unavyomchagua mzabun mwenye Bei ndo au inachagua mfuko wa saruji 1 Tsh 30000/= ndiye anayechaguliwa maana mfumo nyingi hutegenezwa Kama mabob ya kamekaze ya iran
 
Mfumo upo automatic. The lowest bidder ndio atakuwa shortlisted. Uzuri pia wa mfumo huu unaonesha hata kama umeshindwa tenda utajua ni wapi umeshindwa tender na mshindani mwenzako. Upo wazi kabisa tofauti na TANePS
 
Back
Top Bottom