sikutaka tuwe na post leo..ilikuwa tupumzike..mishemishe za kilingeni jana zilikuwa si haba Lakini hebu tujadili kidogo hili la maiti(sio marehemu) Maiti ni mzoga pumzi ikishatoka imetoka kinachofuata ni mchakato wa kuanza kuoza/kuvunda, kuharibika na baadae kuwa mabaki ya mwili na vile...
www.jamiiforums.com