Neno samahani,ni silaha kubwa kuliko silaha ya maangamizi. Ni silaha toka kwa Mungu

lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
964
1,137
Ktk Biblia kitabu cha mwanzo,2:17,tunaona Mungu akimwambia Adam,Matunda ya Miti yote ale isipokuwa mtu wa ujuzi wa mema na mabaya. Mwanzo3:9-12 tunaona Mungu anamtafuta Adam ktk bustani akimwita na kuuliza uko wapi?

Hapa tunajifunza kuwa mtu mwovu hujificha hana urafiki wa kudumu. Viongozi wanaoteza wananchi wao hutembea nakuishi kwa ulinzi mkali kwakuwa wanajua kwa uovu wao wananchi hawawapendi.

Mungu anamuuliza Adam umekula wewe Matunda ya mti liokwambia usile? KOSA ALILOFANYA ADAM,KUSEMA HUYU MWANAMKE ULIYENIPA. ANGESEMA NISAMEHE NIMEKOSA,HASIRA ZA MUNGU ZINGEYEYUKA TUSINGEKUWA KWENYE LAANA TULIYOMO. USHAURI WANGU KWA RAIS WANGU.

Kwanza akubali kuwa amewakosea wananchi wake kwa aina hii ya uongozi anaowaongoza. Pili ajitokeze hadharani kama anavyojitokeza kwenye uzinduzi na mambo mengine, AWAOMBE MSAMAHA WANANCHI WAKE. Kufanya hivyo siyo kujidharirisha Bali kutafuta msamaha na radhi kwa waliomtuma kazi.

Kwa kufanya hivyo hasira na chuki ya watanzania zitayeyuka kama theruji mbele ya jua,na kujifanyia HISTORIA siyo ndani ya NCHI tu Bali ulimwenguni kote. Kufanya hivyo atatengeneza UPYA taifa lenye umoja na mshikamano mpya. Kufanya hivyo kutamfurahisha Mungu pia NA HII NDIYO TOBA.yapo mazuri anayoyafanya,lakini anayafanya peke yake, nani wa kumsaidia ikiwa umoja na mshikamano haupo?

Akishafanya hivyo arekebishe Sheria kandamizi,vyama SIASA avipe Uhuru wao kwa mujibu wa katiba. Bunge,mahakama visiingiliwe nk. HAKIKA AKIFANYA HAYA 2020 HANA MPINZANI,NA MAENDELEO YA NCHI HII ATAYAKIMBIZA KWENDA MBELE KWA KASI YA SAUTI.

KISHA ANITAFUTE ANIPONGEZE HATA KWA NIKUPA MKONO TU. Kwa SIRAHA ya kuomba msamaha,hata hao wazungu wanaotaka kutuletea gharika kama Libya na kwingineko watayeyuka, watauona umoja wetu ukiwazomea na tuwazomea kweli NA mungu atakuwa upande wetu. Kuna faida gani kushupaza shingo kama Adamu afu taifa liangamie?
 
Magufuli alianza vizuri nilimuona akitolea ufafanuzi wakati was kumchagua mega DSM.nakumbuka wakaongezwa akina mahiga na huyu mama wa elimu ili ccm ishinde haikuwezekana hadi jiwe akaomba po.baada ya hapo sijui ilitokea mini jiwe likapata ukichaa had I leo
Nia yake ni nzuri,lakini njia nazotumia kutimiza Nia take siyo sahihi. Hapo ukijumlisha na ushauri wa kagame na ndugu zetu ccm baadhi yao.NI SHIDAAAA! Bila nafasi ya kufanya vizuri bado anayo,ni kuanza UPYA kwa kuwarudisha watanzania pamoja
 
Nyie mijitu itabidi mkatembelee kwa wasomali wawa fundishe honour and dignity walahi
Mbona leo mnakazi ya kujirahisisha hivyo?
Hivi kwa akili yako unafikiri hiyo misaada inayo tolewa nao hawapati kitu in return?
Jamani mijitu ya huku nawaomba mkodishe msomali mmoja kila nyumba awafundishe nini maana ya ulinzi wa nchi yako!
Maana uimbecile umewatawala mno mmefikia kwenye uzezeta.
Naona tuwaweke nje kama wahindi wanavyo fanya kwenye maduka yao walahi
Kafara!
 
Akiomba msamaha hata kama sio hadharani tutamsupport wengi. Kuna mambo anaweza kufanya tukaona kweli ameona mwendo aliokuwa anaenda nao sio sawa. Kinyume na hapo asitegemee support yetu, na hata hiyo kazi hataifurahia kwani hata sisi wananchi wake wengi hatumfurahii.
 
Mimi nadhani tatizo lake linaanzia kwenye kuamini kwamba akionyesha kuwa anayaamini mambo fulani fulani watu wataona jinsi alivyo mtu mwema sana na kwa hiyo watamwamini na hapatakuwepo na lazima ya kusema SAMAHANI. Watu watajua tu, baada ya kuona ishara anazotumia.

Kama hivyo ndivyo anavyoamini anakosea sana.

Mifano yenyewe ninayozungumzia ni hii:

1. Kuomba aombewe mara kwa mara bila kujali au kukumbuka mambo mengi yanayofanyika yakiashiria ukatili anaowafanyia baadhi ya hao anaotaka wamwombee.

2. Dini, Sala, watumishi wa madhehebu ya dini - amekuwa mtu wa kupenda sana kujionyesha mbele za watu waone ucha Mungu alionao. Anawahusisha hawa hata katika mambo yasiyohusika kabisa bila ya sababu za msingi, isipokuwa kujionyesha tu. Wakati anapokuwa kwenye maonyesho haya nadhani huwa amesahau kabisa jinsi gani baadhi ya watu wanavyohangaishwa na maamuzi yake

3. Nakubaliana na mjadala. Njia iliyofupi na ya moja kwa moja ni juu yake sasa awe jasiri, atafute siku nzuri azungumze na taifa kwa utulivu wote anaoweza kuwa nao, aseme tu waziwazi kwa wananchi wenzake kwamba kuna haja ya kurudi kwenye mstari wa taifa letu, na umoja wetu. Aseme tu wazi kuwa, yeye kama kiongozi anaomba MSAMAHA kwa kulipeleka taifa kwenye mfarakano.

Akifanya hivyo, natumaini walio wengi watamsamehe. Kuna aliowagusa kwa karibu zaidi, itahitaji juhudu kubwa zaidi kutoka kwake ili na wao wapate kumsamehe aliyokwisha watendea.
 
KWA KOSA LIPI AOMBE MSAMAHA RAIS HAJAFANYA KOSA LOLOTE KWANGU MIMI YUPO SAWA RAIS NA TUNAMUHITAJI KWA MIAKA MINGINE
 
Acha usenge, fikiri kabla ya kuongea
Nyie mijitu itabidi mkatembelee kwa wasomali wawa fundishe honour and dignity walahi
Mbona leo mnakazi ya kujirahisisha hivyo?
Hivi kwa akili yako unafikiri hiyo misaada inayo tolewa nao hawapati kitu in return?
Jamani mijitu ya huku nawaomba mkodishe msomali mmoja kila nyumba awafundishe nini maana ya ulinzi wa nchi yako!
Maana uimbecile umewatawala mno mmefikia kwenye uzezeta.
Naona tuwaweke nje kama wahindi wanavyo fanya kwenye maduka yao walahi
Kafara!
 
Magu huyu huyu msukuma!!? Hiiiiiiiiiiiiiii wazo zuri ila nasikitika kusema haliwezekani
 
Ktk Biblia kitabu cha mwanzo,2:17,tunaona Mungu akimwambia Adam,Matunda ya Miti yote ale isipokuwa mtu wa ujuzi wa mema na mabaya. Mwanzo3:9-12 tunaona Mungu anamtafuta Adam ktk bustani akimwita na kuuliza uko wapi?

Hapa tunajifunza kuwa mtu mwovu hujificha hana urafiki wa kudumu. Viongozi wanaoteza wananchi wao hutembea nakuishi kwa ulinzi mkali kwakuwa wanajua kwa uovu wao wananchi hawawapendi.

Mungu anamuuliza Adam umekula wewe Matunda ya mti liokwambia usile? KOSA ALILOFANYA ADAM,KUSEMA HUYU MWANAMKE ULIYENIPA. ANGESEMA NISAMEHE NIMEKOSA,HASIRA ZA MUNGU ZINGEYEYUKA TUSINGEKUWA KWENYE LAANA TULIYOMO. USHAURI WANGU KWA RAIS WANGU.

Kwanza akubali kuwa amewakosea wananchi wake kwa aina hii ya uongozi anaowaongoza. Pili ajitokeze hadharani kama anavyojitokeza kwenye uzinduzi na mambo mengine, AWAOMBE MSAMAHA WANANCHI WAKE. Kufanya hivyo siyo kujidharirisha Bali kutafuta msamaha na radhi kwa waliomtuma kazi.

Kwa kufanya hivyo hasira na chuki ya watanzania zitayeyuka kama theruji mbele ya jua,na kujifanyia HISTORIA siyo ndani ya NCHI tu Bali ulimwenguni kote. Kufanya hivyo atatengeneza UPYA taifa lenye umoja na mshikamano mpya. Kufanya hivyo kutamfurahisha Mungu pia NA HII NDIYO TOBA.yapo mazuri anayoyafanya,lakini anayafanya peke yake, nani wa kumsaidia ikiwa umoja na mshikamano haupo?

Akishafanya hivyo arekebishe Sheria kandamizi,vyama SIASA avipe Uhuru wao kwa mujibu wa katiba. Bunge,mahakama visiingiliwe nk. HAKIKA AKIFANYA HAYA 2020 HANA MPINZANI,NA MAENDELEO YA NCHI HII ATAYAKIMBIZA KWENDA MBELE KWA KASI YA SAUTI.

KISHA ANITAFUTE ANIPONGEZE HATA KWA NIKUPA MKONO TU. Kwa SIRAHA ya kuomba msamaha,hata hao wazungu wanaotaka kutuletea gharika kama Libya na kwingineko watayeyuka, watauona umoja wetu ukiwazomea na tuwazomea kweli NA mungu atakuwa upande wetu. Kuna faida gani kushupaza shingo kama Adamu afu taifa liangamie?
Wazungu nao wanamtaka afanye hayo unayo mshauri.
 
Magufuli alianza vizuri nilimuona akitolea ufafanuzi wakati was kumchagua mega DSM.nakumbuka wakaongezwa akina mahiga na huyu mama wa elimu ili ccm ishinde haikuwezekana hadi jiwe akaomba po.baada ya hapo sijui ilitokea mini jiwe likapata ukichaa had I leo
Very disappointing kwakweli huyu jamaa nilimpa kura yangu baada ya upande wa pili kuja na mtu nisiye mkubali. Lkn sasa jamaa kaniangusha vibaya mno!
 
Back
Top Bottom