julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Habari yenu?
Neno nakupenda sasa limepoteza maana kwani nawashangaa watu wanao mtongoza mtu wasiye mfahamu kisa kaona comment zake zilivyo jaa uwezo wa kufikiria! wanashindwa kujua mtu huyo yaweza kuwa na mapungufu kibao tu mfano:- muonekano, afya,tabia, n.k
Wadada wameiga wavulana wa aina hiyo kwa kisingizio cha hamsini kwa hamsini wanamtongoza mtu hawamjui tena anakaza buti nakupenda sana nina jamaa ila yuko mbali hivyo nisamehe kwa udhaifu wangu naomba usinianike humu JF! jamani kweli si uombe mkutane sasa huoni unampa mwenzio wakati mgumu wa kukupa jibu?
Nisamehe kama wewe ni mhusika kuwa huru sitakutaja ila ujumbe umekufikia ujue si kitendo cha kiungwana hata kidogo huwezi kuwa na hisia kisa post watu wengine wagonjwa fikiria kwanza mwili wako ni hekalu lilinde! najua sikukatazi ila basi usinidanganye subiri nione kwanza ndio useme maneno makubwa hayo! Kama ulivyosema mwanamke neno nakupenda huwa ni siraha ya mwisho kuonyesha hisia zake basi lionyeshe kihalali duh!
Najua yanawapata mlio wengi pia hata wakaka kurusha verse za hivyo kwa wadada wengine wako ladhi kuto toa nafasi kwa mwenzi wao kuwasikiliza kisa kudeal na mtu asiyemfahamu ambaye anaweza kuwa na mapungufu zaidi ya mtu wake! Ehm nielezeeni kama hii nakupenda ni ya kweli?