Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Mtoto wa mtu wakati tunaanza mahusiano alikua akiniambia nakupenda nilikua kama kwenye hako kapicha aisee😂😂😂😂🤣...nilivyofall sasa akiniambia nakupenda ..venye ninafeel na kumjibu nyiee acheni tu.
 
mpende pia mtoto wa watu mbona ni simpo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…