ugolo wa bibi
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 1,305
- 302
Mtukufu rais hili neno analipenda
Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu akilitumia kumtaja Mh. Rais, nilijua ni panic za kutoka mahabusu. Ila sasa haka kamchezo kanaendelea.
My concerns ni kuwa Tanzania hutajawahi kupata Rais aliyejiita mtukufu. Tulizoea kusikia hilo neno kwa jirani zetu wakenya enzi za Daniel na tuliona siyo sawa.
Kujiita mtukufu ni kujikweza kwa hali ya juu. Hili neno likiachwa lishamiri huko mbeleni litageuzwa kuleta picha mbaya kwa Mh Rais.
Wito wangu mamlaka husika zisiache hili jambo likue.
Nawasilisha!
Nakiri kwa dhati kutoka moyoni mwanguUkukiri kwa dhati ya moyo kuwa Rais Magufuli ni mtukufu?
Nyerere alikataa utukufu akaleta Ndugu-walipotupa azimio la Arusha na Ndugu ikafa kifo cha mende.Neno mtukufu liliisha utawala wa Mkapa. Yeye ndio alikataa kuitwa mtukufu. Nyerere na Mwinyi wote walikuwa watukufu. Mleta mada achakukimbilia kuandika vitu usivyovijua.
Namaanisha, kikichofuata kuutangazia umma kuwa yeye sio mtukufuDuh, hilo swali lilikuwa gumu!
Mtukufu pia ni MTU asiyejaribiwaKwa kweli...! Utukufu ni kwa Mwenyezi Mungu pekee..!
Sasa ni kama umeanza ka umbea,we linakuwashia nini?Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu akilitumia kumtaja Mh. Rais, nilijua ni panic za kutoka mahabusu. Ila sasa haka kamchezo kanaendelea.
My concerns ni kuwa Tanzania hutajawahi kupata Rais aliyejiita mtukufu. Tulizoea kusikia hilo neno kwa jirani zetu wakenya enzi za Daniel na tuliona siyo sawa.
Kujiita mtukufu ni kujikweza kwa hali ya juu. Hili neno likiachwa lishamiri huko mbeleni litageuzwa kuleta picha mbaya kwa Mh Rais.
Wito wangu mamlaka husika zisiache hili jambo likue.
Nawasilisha!
Kwa hivyo hoja yako ni kuwa Mh Rais hana utukufu wowote?Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu akilitumia kumtaja Mh. Rais, nilijua ni panic za kutoka mahabusu. Ila sasa haka kamchezo kanaendelea.
My concerns ni kuwa Tanzania hutajawahi kupata Rais aliyejiita mtukufu. Tulizoea kusikia hilo neno kwa jirani zetu wakenya enzi za Daniel na tuliona siyo sawa.
Kujiita mtukufu ni kujikweza kwa hali ya juu. Hili neno likiachwa lishamiri huko mbeleni litageuzwa kuleta picha mbaya kwa Mh Rais.
Wito wangu mamlaka husika zisiache hili jambo likue.
Nawasilisha!
Sasa kama hamtaki "mtukufu" basi " mtukutu".Mkuu Nyerere nadhani kuna kipindi alikua anaitwa mtukufu. Nenda kaangalie jiwe la msingi la terminal 2 pale airport...utaona wameandika "jengo hili limezinduliwa na mtukufu rais".
Kwani wanakijuaHis excellence = mtukufu.
Mbona kikitumika kiingereza hamlalamiki?
Jamani kama hamjajua lengo la lissu ni kureflect lile jina ambalo alimwita Rais kwakutumia jina MTUKUFU,maana yake ni kwamba akisema MTUKUFU basi moja kwa moja unakumbuka lile jina lililosababisha akamatwe.Kama IQ yako ni ndogo utapata shida sana katika dunia hii na kila siku utakua unasubiria utafuniwe halafu wewe umeze tuNaamini hata Mh.Rais halipendi ndo maana hajalitumia kwenye picha rasmi ya rais.
Hoja yangu hapa ni kwa nini wapinzani ndo wanaongoza kwa kumuita Magufuli 'mtukufu'? Ni jambo gani wanalipika akilini mwa watu wa kawaida?
Sasa kama hamtaki "mtukufu" basi " mtukutu".

taratibu mkuu...si unajua hela yenyewe mtaani siku hizi ya kutafuta kwa tochi. Tunaweza kosa 7M ya kuja kukuopoa sentroHaahaa mimi pia wananiitaga mtukufu,sasa ndio nasema,wale ambao hawataki niitwe mtukufu basi waniite mtukutu.taratibu mkuu...si unajua hela yenyewe mtaani siku hizi ya kutafuta kwa tochi. Tunaweza kosa 7M ya kuja kukuopoa sentro
Mwinyi alijiita mtukufu kipindi chake chote mkuu.......Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu akilitumia kumtaja Mh. Rais, nilijua ni panic za kutoka mahabusu. Ila sasa haka kamchezo kanaendelea.