nimekuwa nikifikilia sana bila majibu..
kwanini Raisi wa Jamhuri wa Muungano, alifikia hatua na kusema "Wewe DK Shein, wakitoka Malaika unafuata wewe"
kauli hizi zimeendelea kwendana sanjari na kauli za raisi kuitwa Mtukufu (Mtakatifu) na kukiri yye mwenyewe kuwa hajaribiwi na mtu asidhubutu kumjaribu, atakiona cha moto...
tukirudi nyuma rais Benjamin Mkapa, alikataa kuitwa mtukufu na hata Yesu mwenyewe alikataa kuitwa Mtukufu/mtakatifu hapa dunian, (MARK 10:17..) na Yesu ndiye kiumbe chenye ubinadamu kilichoweza kushinda majrbu yote na wala sio mwingne
Ujasili wa Mganga mkuu kujiita yy mtukufu asiyejaribiwa anautoa wap?