Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,102
- 27,201
Hapana, sivumbui ila ni maneno yaliyotamkwa hivi karibuni. Kama mtu amesema asijaribiwe, huyo mtu hastahili kuitwa mtukufu? Maana asiyejaribiwa ni Mungu pekee, naye ndiye mtukufu!Kwa nini uhangaike kuvumbua vumbua vimaneno? Kwa nini usitumie salutation zilizokubalika?