Jamani mbona neno mtukufu linatumika sana kwa maraisi na wanadiplomasia wakiwa wanaaddress mikutano. Lakini neno mtukufu (his excellence/her excellence ni kwa maraisi, ambassadors, UN secretary General au AU secretary General. Kwa hiyo kumuita JPM his excellence JPM, president of united republic of Tanzania kwa utaratibu ni sawa kabisa.Mwinyi alijiita mtukufu kipindi chake chote mkuu.......
Hivi you majesty inamaanisha nn mkuu......Lakini huruhusiwi kumuita Nape his/your excellence Nape, au Kigwangala his/your excellence Kigwangala, hao mheshimiwa(honorable) litawatosha sana.
hata hivyo hawa viongozi wa juu wakikatoliki ambao walipata fursa ya kuitawala nchi hii, nikiwazungumzia Mkapa na wengineo, Hasa mkapa huwa naona anazo element ambazo ni pure kabisa za ukatolikiNeno mtukufu liliisha utawala wa Mkapa. Yeye ndio alikataa kuitwa mtukufu. Nyerere na Mwinyi wote walikuwa watukufu. Mleta mada achakukimbilia kuandika vitu usivyovijua.