Neno mpenzi wangu unalitamkaje kwa kiruga chenu?

Neno mpenzi wangu unalitamkaje kwa kiruga chenu?

Upo best..!? mbona tumepotezana sana..!? au kiweri weri kasema usiwasiliane na mwenyekiti..!?

Nipo best,jirani na mwenyekiti pia!! Una vyeo vingi hivi sijui kiweri weri anaanzaje kusema nisiwasiliane na wewe!!
 
Mparu wango - kipogoro.
Nhwanu wangu - kimpoto
 
Habib kwa men habibty kwa dem ila hubby ndo poa kibabambado
 
Back
Top Bottom